Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,473
Reaction score
529
A point of interest, ni nani wa mbele na nyuma ya pazia wanamiliki hiki kiwanda? acheni wanaojua watujuze.
 
Ni lazima atakuwa mjamaa kutoka kule nchi ya mbali wanakolala barabarani ila wakija huku wananing'inia kwenye maghorofa.UUaji wa aina hiyo unatakiwa ushughulikiwe kwa nguvu zote
 
Ni jambo la hatari sana kuleta siasa katika afya za watu waziri wa afya(dr. Hussein mwinyi) anamsimamisha kazi mkuu wa msd, na kuzema hizo dawa feki zimeshatolewa sokoni, je ni watu wangapi wameshazitumia hizo dawa, ni madhara kiasi gani wamepata au watapata? Kwa kweli nashauri zile sheria za china zije na zitumike, ili ujinga kama huu usiendelee bila hivyo naona hapa ni masihala na blablaaaa kila kitu huku watu maskiini wakiangamia. Huyo mmiliki wa hicho kiwanda atakuwa na backup ya haohao wezi walipo serikalini wakiongozwa na jk mwenye, maana huyu jk na uko wake wameamua kuigeuza tz ni kitega uchumi chao, wanafanya na kupora kila kitu anytime...
 
Ni ya mbunge mmoja wa ccm yeye na mume wake majina yao yamenitoka kidogo ila walianza kuwa maduka ya phamarcy baadae huyo mama akawa anachezesha upatu baadae akawadhurumu wanawake wenzake yeye na mume wake ndio wakafungua kiwanda cha Dawa wenye data zaidi watakuja kuwapa A-Z
 
somebody Madabida au Madabila ila ni watu wa Chama chetu cha naniiiii
 
we humjui? Nani wanamiliki biashara ya dawa za kulevya?
 
somebody Madabida au Madabila ila ni watu wa Chama chetu cha naniiiii

Yap huyo huyo na ni mmoja wa wale mashangingi wa mjini kwa waliowahi kukutana nae watakubaliana na mimi
 
Yap huyo huyo na ni mmoja wa wale mashangingi wa mjini kwa waliowahi kukutana nae watakubaliana na mimi

Jamani tusiwe na nyuso za haya kwa watu waovu kama hawa, mkisubiri serikali hii iwashuhulikie ni ndoto mfano ni polisi waliomuua Mwangosi. Wekeni picha hapa tuwajue kwa sura zao.
 
Ni ya mbunge mmoja wa ccm yeye na mume wake majina yao yamenitoka kidogo ila walianza kuwa maduka ya phamarcy baadae huyo mama akawa anachezesha upatu baadae akawadhurumu wanawake wenzake yeye na mume wake ndio wakafungua kiwanda cha Dawa wenye data zaidi watakuja kuwapa A-Z
C.T.U are you referring to Madabida? Is Tanzania Pharmacetical the producer of those fake ARVs?
 
Last edited by a moderator:
Yaani sasa mafisadi wamefika mbali. Inabidi wahusika wanyongwe, huwezi cheza kamari na maisha ya watu. Hata Nigeria hawajafikia hatua hii. Waliposema mwanzoni feki wakabisha kumbe wanawaua watanzania taratibu. THIS IS EVIL.
 
Nimesoma mahali hapa hapa JF, kwamba kiwanda kile ni mali ya familia ya akina Madabida. Ni makada maarufu wa magamba kwa mkoa wa Dar. Tutajibeba mwaka huu.
 
Idimi inawezekana kuna "disagreement" maana ninavyofahamu kile kiwanda walipata mbia nadhani toka Ujermani kwa ajili ya kutengeneza hizo dawa na lazima zilihakikiwa kabla ya kuanza kusambazwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom