Asharose Migiro, Utetezi wa haki za binadamu umeishia New York? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asharose Migiro, Utetezi wa haki za binadamu umeishia New York?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Oct 11, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Ninashangazwa sana na Bi. Asharose Migiro kwa kitendo chake cha kukaa kimya hata baada ya tume ya haki ya binadamu kutoa taarifa kuhusu haki za kibinadamu zinazoendelea kuvunjwa na serikali isiyo jali haki za binadamu ya Jakaya Kikwete.

  Swali kubwa ninalojiuliza mimi ni kuwa huyu mama ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa UN ambacho ni chombo kikuu cha kulinda haki za binadamu duniani anakaa kimya kabisa anashindwa hata kukemea vitendo vya uvunjwaji wa haki za binadamu unaofanywa ndani ya nyumba yake anayoishi?

  Nilikuwa namuona kwenye TV akikemea ukiukwaji wa haki za binadamu huko Sudan, Leo hii ukiukwaji wa haki za binadamu unafanyika nyumbani mwake anamoishi anakaa kimya huu ni unafiki hali ya juu.

  Waandishi please mtusaidie ktk hili tuone kama ameweka maslahi yake ya kisiasa mbele au ya nchi kwa kutaka kupata maoni yake kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Kikwete please.
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu hawezi kazi ya kutetea haki za binadamu na ndio maana Ki-moon amempiga ban asirudi UN headquarters
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa mmoja alikuwa na shilingi mia mfukoni haina kazi.

  Akamuona omba omba anaomba jamaa ile mia yake hakumpa yule omba omba mara akaja tajiri mmoja akanunua maji ya mia tano kwa noti ya shilingi elfu moja halafu akarudishiwa chenji mia tano yule tajiri akachukua mia mbili akampa yule omba omba na mia tatu akaweka mfukoni yule jamaa akaanza kulalamika kuwa kwanini yule tajiri hakumpa ile mia tano?

  Wakati yeye ana mia na kashindwa kumpa yule omba omba wenye akili watanielewa
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa ulitaka aseme nn ikiwa mkuu wa nchi mwenyewe yuko kimya?mwachen dr migiro apumzike!!
   
Loading...