lowasa ndani ya Nzega: Kigwangala akae chonjo?

chikakatata

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
220
98
Nikielekea Shinyanga jana nikakutana na taarifa kwamba Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowasa atakuwa Nzega kesho kuzindua harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la kiinjili la moravian Tanzania, Nzega. Jambo hili lilizua mjadala kwenye basi kwamba hizi siasa za kwenye nyumba za ibada ni vipi? Na je Lowasa ambaye anamfadhili Hussein Bashe kwenye harakati za kisiasa kwenda Nzega siyo mkakati tu wa kumdhoofisha mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dk Hamis Kigwangala?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom