CCM Rukwa wapanga kuwadhuru Yamsebo, na Heche mapema (mitego yapangwa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Rukwa wapanga kuwadhuru Yamsebo, na Heche mapema (mitego yapangwa)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by USTAADHI, Oct 11, 2012.

 1. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ndugu wanajamvi katika hali inayoashiria chama tawala kuanza kukoswa uvumilivu wa kidemokrasia na kuvumilia mitupo ya CHADEMA hapa rukwa eneo la MAZWI SOKONI vilifanyika vikao vya siri nzito baada ya shamra shamra kuanza mitaani na tetesi mbali mbali za wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuanza kuandaa mapokezi ya mh NORBET YAMSEBO, ambaye inasemekana anaingia hapa leo akitokea DAR ES SALAAM ikawa ni kero kwa wanaccm ikaja taarifa ya pili kuwa msafara wa mh YAMSEBO utachagizwa na kiongozi mkuu wa vijana wa chama hicho( BAVICHA,) NDUGU JOHN HECHE,kitendo ambacho kimeongeza mlipuko na shamra shamra zaidi kikitasfiriwa kama ishara ya kiongozi huyo wa vijana wa chadema taifa kukubalika saana katika maeneo haya ya sumbawanga na rukwa kwa aina ya hotuba anazozitoa ikikumbukwa kuwa alikuwa hapa miezi michache iliyopita akilipua kashfa nzito ambazo ni kero kwa wanasumbawanga

  WAKATI HAYO YAKIENDELEA KUNAKO CHADEMA NA KWA WAFUASI MBALIMBALI WALIOPANGA KUFANYA MAPOKEZI ENEO LA kijiji cha TAMASENGA, kata ya TITO huku upande wa pili inatakiwa viongozi hawa wachukue tahadhari kubwa wawapo safarini na wasipuuze
  kwa maana viongozi wakuu wa serikali mkoani wafanyabiashara na wanaccm wakubwa hawajafurahia mahakama kutupilia mbali rufaa yao na mpaka sasa wamekuwa na vikao vingi vya kimkakati vinavyoratibiwa kwa karibu na mkuu wa mkoa ENG STELLAH MANYANYA,AESHY,VIJANA MBALIMBALI. chuki na hila ni sehemu ya agenda za siri zinazotakiwa kuratibiwa .Awali kulikuwa na mpango wa lori aina ya scania ama FUSO kuvamia na kusababisha ajali likilenga gari linaloaminika kutumika na Heche na Yamsebo!na hata hilo likishindikana kuna uwezekano mkubwa wa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa ama kutokea fujo ya aina yoyote maana kuna kundi la vijana lilikuwa linaandaliwa kupigana katika msafara wa mapokezi ama hata kupigana wakiwa na muonekano wa taswira ya kama vijana wa chadema wakipigana wenyewe kwa wenyewe na hata kumdhuru mmoja ama wote kati ya viongozi walioambatana na msafara wa heche
  zaidi ushauri wangu kwa haya niliyoyaona ni kwamba hali ya mipango hii bado naifuatilia ingawa kuna usiri mkubwa saana jamani hawa viongozi wanatakiwa kuwa makini saana na ratiba yao na program zote maana washika mpini wana mkao usioridhisha
  source ni mimi mwenyewe
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  MUNGU atawaepushia mbali na hao majangili
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu Yamsebo ndo namsikia leo ana cheo gani cdm.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru sana kwa taarifa.Mungu akubariki.Tahadhari itachukuliwa.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,375
  Likes Received: 22,241
  Trophy Points: 280
  Nasikia huko Sumbawanga radi zinauzwa kwa kilo, kilo kumi buku
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,753
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu, mratibu wa mpango haramu huu ni Lameck Madilu, huyu jamaa mikono yake imejaa damu.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  ******hatuhitaji******* kwenye thread hii.
   
 8. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ndiye alikuwa mgombea pale sumbawnga akaibiwa ushindi na mafisadi mzee
   
 9. s

  swrc JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 442
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tahadhari ni muhimu sana popote pale
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  magamba wameishiwa sera wamebak kupanga mipango ya kudhuru wapinzan! Kazi ya mwigulu huyo na political strategy zake
   
 11. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wanasumbawanga msiposimama kidete nyie wenyewe magamba zao ni vitisho na kutumia nguvu ili mrudi nyuma wawapore kilichochenu mchana kweupe mlindeni saana dogo heche vijana tunamtegemea saana hapa chadema asidhurike kwa mitego ya kijinga.
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Ameen! Mkuu vipi leo tarehe 11/10/2012 bado ramli ya dada yetu haijatimia?
   
 13. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Huyu mkuu wa mkoa anaonekana ana roho mbaya sana ndio maana wamempa vyeo vingi ndani ya chama.Binadamu tukumbuke hatutaishi milele duniania na hatukujiumba wenyewe kuna siku ya kiama.Nahakika mungu yu pamoja na makamanda wetu.
   
 14. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ritz is typing...............
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni kweli hizi taarifa tumezipata jana hapa Tunduma,nipo hapa kwa shughuli zangu za kikazi,Chadema wawe macho kwani lolote laweza kutokea
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  chadema wanaulinzi wanausalama wa hali ya juuu kuliko hao ccm na usalama wa taifa.
  Hata kule nyororo alikua anatafutwa dr.slaa baada ya kumkosa hasira zao zikaenda kwa mwangosi kwamba ndo kavujisha siri. Nina iman na mkurugenzi wa usalama wa chadema mheshimiwa ALFRED RWAKATARE ft MABELE MARANDO. Mia
   
 17. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yamsebo ndiyo alikuwa mgombea ubunge mwaka 2010 na kwa wana sumbawanga kama 70% wanadai ndiyo walomchagua kama mwakilishi wa jimbo lao.
   
 18. p

  propagandist Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HECHE ndio kitu gani?
   
 19. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndiye aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chadema sumbawanga mjini,hata magazeti husomi!
   
 20. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  zinadhuru aliyekukosea tu na si vinginevyo.
   
Loading...