Maskini Dr. Mwinyi, mzimu wa kujiuzulu unamuandama kila wizara anayopewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Dr. Mwinyi, mzimu wa kujiuzulu unamuandama kila wizara anayopewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by President Elect, Oct 12, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Alikoswa koswa kwenye milipuko ya mabomu ya mbagala na gongo la mboto. Sasa anaandamwa na dawa feki za ARV's.

  Baba yake mzazi, mzee Mwinyi, alijiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani, hatimaye akaukwaa urais; 'like father, like son' subira huvuta heri.
   
 2. e

  environmental JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  he can not learn on that
   
 3. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kashfa ya ARV feki anapaswa kujiuzulu pia-fullstop!
   
 4. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Let him go.
   
 5. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,480
  Likes Received: 788
  Trophy Points: 280
  Kuzungumzia suala la kujiuzuru kwa viongozi wa serikali hii ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, aliyetakiwa kuwa kajiuzuru ni mkuu wa kaya na hawa wengine wakafuata kama yeye haonyeshi mfano unategemea hawa wa chini watafanya nini.
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,529
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Hussein Mwinyi ana KIMAVI tu
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mwinyi kakaa kingese!
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Wakuu this guy is good but I think there is something is not right katika cabinet ya chini yake..

  Au mimi naona vibaya utendaji wake?
   
 9. i

  iseesa JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusisingizie Mizimu mkuu. TATIZO ni hii tabia ya kurithishana ndani ya MAGAMBA hata kama huwezi.Je Mama Kikwete au Riz1akiwa MGOMBEA urais wa CCM na akapita Nchi itakuwaje?
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  msamiati wa kujiulu kwa sasa haupo na hautekelezeki kabisaa
   
 11. p

  propagandist Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tabia hiyo ya kujiuzulu wameonyesha CUF waziri wake wa miundombinu. utumishi ni wito.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,352
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Kwa TZ suala la kujiuzuru halipo,maana atakwambia ana kosa gani?
   
 13. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,380
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Sio ARV's hata Condoms za bandia ni nyingi sana!
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hapa tutakufa wengi kama kweli zipo mkuu mandingo!!
   
 15. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hivi hawaaa......

  Nini kifanyike ili ujumbe ufike, maana hata mkuu wa kaya hatingishiki. Naamini ningekuwa na mamlaka aliyonayo, nisingesita kuchukua hatua stahiki ndani ya uwezo wangu.

  Ile kitu 'kustaafishwa kwa manufa ya umma' ilikufa na mwalimu!

  R.I.P. MWALIMU, LEO TUNAKUKUMBUKA, INATIA UCHUNGU SANA JAMANI, Aaaarrgghhi!!??!!
   
 16. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kipindi cha baba yake. mwl. nyerere ndo alikua rais wetu. sasa hivi tunae baba riz 1 anachekacheka tu na kusafiri nje.
   
 17. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hawezi kujiuzulu huyo! Kipindi kile babaye anajiuzulu, uwaziri ulikuwa ni wito; siku hizi uwaziri ni ajira rasmi yenye kipato kinono.
   
 18. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Good in what?pale saigon au uswahili kupitia story za wapambe.Haya mambo ya kina chuji wana kiwango hayana nafasi tena.Ndio maana makoch awakija wanashangaa hao akina chuji wenu hawawezi hata badii matokeo mbele ya akina drogba,sasa wanini?HUyo mwinyi ni mzenj na mjinga kam wengine.Hakuna utendaji wa kupendekezwa kwa haiba uliyojenga kwa kundi la watu.Hizo story zinawafaa huko kidongo chekundu.
   
 19. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu kumbe na wewe umewahi kuiona hii!!! nilidhani mimi tu namwonaga hivyo. Jamaa alivyo alivyo...walah anaacha maswali lukuki...! inawezekana c rizk nini?
   
 20. m

  matawi JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Vyeo vya kulazimishia bila ujuzi tabu yake ndo hii maana baba yake kamwambia katoka familia ya watawala hivyo lazima anganganie vyeo
   
Loading...