wananchi Dodoma wamshutumu Adam Kimbisa kwa kujilimbikizia madaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wananchi Dodoma wamshutumu Adam Kimbisa kwa kujilimbikizia madaraka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Oct 14, 2012.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika siku ya kumkumbuka mwl nyerere wananchi mkoni dodoma wamemshutumu kwa kujilimbikizia madaraka na kusema kuwa kauli ya mwl nyerere kujilimbikizia madaraka ni ulevi wa madaraka imakosa mashiko kwa sasa kwa sababu viongozi wengi ndani ya ccm
  wamekua wakijlimbikizia madaraka na wengine kupata madaraka kwa njia za rushwa hivyo kusababisha chama hicho kuendelea kupoteza imani kwa wananchi

  source star tv
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Unafiki tupu,katoa hela kachaguliwa
   
Loading...