Nape anaihujumu ccm?

ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
268
Leo ktk mdahalo wa kumuenzi Mwl JK nyerere inayoendeshwa na Dr Mkumbo...Amekubaliana na maoni ya Dr Lwaitama ambaye alitamka kuwa CCM ijiandae kuwa chama makini cha upinzani... pia Nape kamekiri kuwa kuwa kuna mzee amempa ushauri wa kuwaasi wazee wanaotaka kuwatumia vijana kwa lengo la kujipatia madaraka...My take...kwa mtu yeyote anaefuatilia mdahalo unaoendelea utabaini kuwa Nape anatumia wajibu wake kikamilifu kuhakikisha kuwa CCM inakufa bila ya kuleta madhara makubwa kwa wananchi...
 
ameulizwa kama anaweza 'kujibu mapigo', akasema 'hapana sitamjibu'.

ieleweke kuwa hakusema 'nitajibu siku nyengine'.

hiyo ina maana kubwa sana kwa wachokonozi.

tuendelee kuchokonoa.
 
Kisha gudua ccm=kafu=uamsho.
Pinda nae inafaa afanye maamuzi magumu. Machozi ya wakristu yatawalaani.
 
CCM ni chama mfu kipo kinakata roho muda sio mrefu kinasupport ya dola na usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom