Tanzania baada ya 2015 itakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania baada ya 2015 itakuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by we gule, Oct 14, 2012.

 1. we gule

  we gule Senior Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF Nimekaa najiuliza hivi nchi hii ikichukuliwa na CCM hali itakuwaje ?

  1. Kuanzia ngazi ya Mtawi viongozi wamepita kwa Rushwa.
  2.Ngazi ya Kata ndio usiseme kwa hiyo Rushwa.
  3.Katika Ngazi ya Wilaya mizizi ya Rushwa ndio ilijikita zaidi.
  4.Nangazi ya Mkowa huko mambo yalikuwa mazito zaidi.
  5.Naangalia Ubunge utakovyo kuwa kama katika uongozi wa Chama tu ndio hivi , uteuzi wa ubunge itakuwa ni vita.

  Hivo serikali itakayoundwa kuanzia ngazi ya tawi hadi Taifa ni viongozi walioingia madarakani kwa rushwa.Hapo nani atamkemea kuacha vitendo vya Rushwa , jibu ni hakuna ,kwa hiyo rushwa katka Taifa hili itakuwa ni moja ya sera ya Viongozi wetu ,TUNA KWENDA WAPI?
   
Loading...