Mchuano mkali 2015 Arusha: Lowassa vs CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchuano mkali 2015 Arusha: Lowassa vs CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by BigMan, Oct 13, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  natafakari itakuwaje mwaka 2015 endapo ccm itampitsha mheshimiwa lowassa kugombea urais ? kwani kwa jinsi inavyojidhihirisha sasa huyo waziri mkuu aliyejihudhuru ngome yake kubwa ni mkoa wa arusha na kwa bahati nzuri chadema nao ngome yao kuu ni arusha,patakuwa patamu hap ,tuombe uhai tushuhudie draft litakapochezwa
   
 2. k

  kiwaya Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa CHADEMA hawana Ngome Arusha Watanzania washawajua kuwa hawa ni LONGOLONGO, 2015 ushindi upo kwa CCM, wana Arusha tuna imani kubwa na CCM
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  2010 lowassa alifika kwenye ukumbi wa manispaa ya arusha akitaka kumuhonga lema ili batilda achukue ubunge ilishindikana.
  mnapoanzisha thread msiwe kama mnatoka usingizini bana.baada ya kuichukua arusha na arumeru sasa ni zamu ya monduli.
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Pole..
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Sio Monduli tuu kuna Arumeru West mkuu hiyo nayo niyakwetu..
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  namshangaa jamaa anaposema kutakuwa na upinzani...upi?pale arumeru lowassa alikoswa kupopolewa kwa mawe kwa kuwa anatambulika kama fisadi.
   
 7. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huu ndo mwisho wa magamba itabaki minofu tu!
   
Loading...