Tanga matokeo ya uchaguzi CCM-NEC mwenyekiti ni Henry Shekifu (mb Lushoto)

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Matokeo ya Uchaguzi wa CCM-Tanga

mwenyekiti: Henry dafa Shekifu (mb lushoto)

mchumi na fedha: Stephen Ngonyani (profesa maji marefu)- mb korogwe vijijini

katibu mwenezi: Mathew Mganga
 
Tanga hakuna watu wengine? MAJI MAREFU ni MWEKA FEDHA?
 
Yaani huyu mganga wa kienyeji ndio mweka hazina Lol ni noma kweli Tanga hakuna watu
 
Mentality yao mwenye fedha ndo anaweza kutunza fedha labda.

Katika Tanzania yenye watu wavivu wa kufikiri,waoga na wasiopenda kubadilika ni Tanga.si majimarefu tu,bali hata huyo shekifu ni kioja mtupu.poleni sana enyi watu wa Tanga moja ya mikoa ya jamii inayothamini kitu kidogo(rushwa).
 
Umeona eee, wasingekuja wachaga na makabila mengine kwenye huu ukanda, nawazanga sijui ungekuwaje. Huwa naliwaza hilo bila kupata majibu. Ni wavivu, wanapenda vya kuletewa bila kujishunghulisha
 
Shekifu ni mbunge na mkuu wa mkoa Manyara.

Kuna kila dalili kwamba ukiwa kiongozi wa chama ndani ya CCM ni mtaji wa ukweli kuliko hata uwaziri.....
 
Shekifu ni mbunge na mkuu wa mkoa Manyara.

Kuna kila dalili kwamba ukiwa kiongozi wa chama ndani ya CCM ni mtaji wa ukweli kuliko hata uwaziri.....

Hiyo si hoja bali hoja ni wananchi wa tanga in general wanapenda sana rushwa na shekifu huo mchezo wa rushwa anaujua barbara,kamuulize mshangama au mwanamke yeyote wa Lushoto.
 
Mnashangaa nini? Hakuna mkoa wa kichawi na uliotopoea kwenye ushirikina katika Tanganyika kama Tanga. Halafu mnategemea eti M4C iingie kirahisi! Thubutu! Bila nguvu za ziada kuvunja hizi ngome huu mkoa utaendelea kuwa kipenzi, chanda na pete wa magamba lakini wa kwanza kufanya vurugu kisa wameachwa nyuma kimaendeleo.
 
Shekifu ni mbunge na mkuu wa mkoa Manyara.

Kuna kila dalili kwamba ukiwa kiongozi wa chama ndani ya CCM ni mtaji wa ukweli kuliko hata uwaziri.....

hapana manyara imeshapata mkuu wa mkoa mwingine ,hivyo shekifu si mkuu wa mkoa wa manyara.
 
Maji marefu ana taaluma gani juu mambo ya uchumi na fedha? Kwa kuwa misingi ya upatikanaji wa fedhi za chama ni michafu, usimamizi na matumizi yake lazima yawe machafu pia. Let 'easy come easy go' operate.
 
Mimi advance nlsoma lushto lwandai kkt kusema kwel tanga co siri wananchi wake wavivu kufikiria hv huyo shekifu lushoto amefanya nini cha maana cha kumchagua hcho cheo hafu cha ajabu m2 ambaye alkimbia shule primary eti mtunza fedha jaman haya maajabu gan tena!!
 
Yaani huyu mganga wa kienyeji ndio mweka hazina Lol ni noma kweli Tanga hakuna watu

Hawa wagosi ndio maana kila leo wako nyuma kwasababu ya ushirikina!! Huyu mchawi toka lini akajua mambo ya uchumi na fedha? Yeye ni fundi wa kutapeli kama alivyomtapeli yule mama wa kikikuyu toka Nairobi!!
 
Hongera sana Mathew Maganga, Magamba sec school classmate ila huko kwa CCM uangalie musee
 
Mimi advance nlsoma lushto lwandai kkt kusema kwel tanga co siri wananchi wake wavivu kufikiria hv huyo shekifu lushoto amefanya nini cha maana cha kumchagua hcho cheo hafu cha ajabu m2 ambaye alkimbia shule primary eti mtunza fedha jaman haya maajabu gan tena!!

naona unakunya ulipokulia.pia unaonekana una chuki binafsi.huna hoja unaishia kukejeli watu.wewe umefanya nn cha maana hapo kwenu
 
Back
Top Bottom