Waziri Mkuu Mh. Pinda kukutana na watanzania UK

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
SATURDAY, OCTOBER 13, 2012
13226679221.jpg


Waziri mkuu mh Mizengo Pinda atakutana na watanzania waishio UK dhumuni likiwa ni kuzungumzia mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu kisiasa, kiuchumi, n.k.


Pamoja na hayo pia maswala yaliyozungumzwa kwenye ziara yake ya mara ya kwanza yataelezewa.


Siku: Jumanne 16, October 2012
Mahali: Tanzania High Commission
Time: 17:00 jioni (saa kumi na moja jioni).
Inashauriwa wale wote wanaopenda kuhudhuria wajiandikishe kupitia email:
watanzaniauk@gmail.com
Wote mnakaribishwa.


SATURDAY, OCTOBER 13, 2012 | MICHUZI BLOG
 
Maendeleo ya Tanzania Kisiasa awe tayari kuambiwa CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani 2015
 
Sasa Makamu wa kwanza wa RAIS wa Zanzibar Maalim Seif alikuwa UINGEREZA Wiki 3 zilizopita
Na, Waziri Mkuu anakwenda... Rais alikuwa huko Miezi Miwili iliyopita... TUNAFANYA NINI? Kwanini tusimpe

MVUMBUZI wetu Mwenye AIR CONDITIONS angalau UKUTA na Mabati kuliko MASAFARI yasio na Maana?

546265_437855902932844_831758691_n.jpg
 
Kuna mtu alisema Tanzania imeuzwa Uingereza inaonekana ni kweli, Wakuu wanakwenda kukamilisha mkataba wa mauzo.
 
Kuna mtu alisema Tanzania imeuzwa Uingereza inaonekana ni kweli, Wakuu wanakwenda kukamilisha mkataba wa mauzo.

Uzuri ni nini Dunia imebadilika; kilichouzwa sio halali; Uongozi mpya ukija watatengua huo ulaji
 
duuh! hapo ukute ameenda kutibu mafua tu! fa mchezo na viongozi wetu. bado kidogo utamsikia mzee wa mikasi kampeleka bi mdogo kujifungua
 
Hivi siku hizi Ulaya na Marekani ni wilaya za Tanzania? Hivi CCM wamesahau kuwa watanzania wengi waliokimbilia Ulaya na Marekani wameukimbia umaskini na sera mbovu za CCM?
 
Back
Top Bottom