Wana-JF!
Nachukua fursa hii kusema kwa uchungu mkubwa kuwa hivi karibuni tumeshuhudia viashiria ambavyo vinatoa picha halisi ya kule Watanzania tunakoelekea (Machafuko makubwa). Viashiria hivi ni...
Nimesema juzi kuwa ukosefu wa hekima ni janga kubwa la kitaifa kwa kweli nilimaanisha hilo. Tangu habari za mauaji ya Kamanda Barlow yalipotokea mwitikio wa watu wengi umekuwa ni kutokujali...
Wanabodi,
Katika kile kinachoendelea kuonyesha ni kushindwa vibaya kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani unaoendelea kwa sasa kwenye kata ya bangata arumeru magharibi, kampeni meneja wa ccm bwana...
Huyu mzee, haya mahaba binafsi kwa Kikwete sijui yametoka wapi, nimeshindwa kuelewa kama anachokisema kilitoka moyoni ama kujipendekeza na kuchumia tumbo.
Wazee kama hawa ambao walipewa sekta...
mzee wa sm (feg) ukiwa wazr wa mawacliano na mgombea jimbo la Bahi uliwahadaa wananch kigwe kwa kujenga jengo na kusambaza nguzo za cm lakin baada ya kushinda uchaguz ukangoa.mtambo na nguzo...
Tuzo ya MO IBRAHIM imekosa kiongozi, stahiki.
tuzo hiyo ya dola mil 3.2 hutolewa kwa kiongozi wa Nchi yeyote AFR aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia, na kuondoka madarakanikwa...
Naomba kujua kuhusu Vijiji au Miji inayotembelewa na Tume ya Katiba mpya vina sifa gani ya ziada. Nimejaribu kufuatilia baadhi ya wadau wa mitandao hasa Facebook na Kukuta kuwa wanalalamika Tume...
Mchakato umeanza mapema kabisa: vinara kwa sasa ni Lowassa na Membe kwa upande wa CCM, na Zitto na Dr.Slaa kutoka CHADEMA.
Kuelekea 2015 vigingi vitakuwepo vingi tu, kwa hao wanne na wengine...
Kila nikiangali tv nakutana mijadala mbalimbali inahusu Mwalim Nyerere walio ndani ya madaraka na nje ya madaraka wanalalamika, mwalimu haenziwi, hivi ni nani wa kumuenzi jamani ,mimi naona hao...
Inaonyesha idadi kubwa ya viongozi wa Afrika wanapoingia madarakani huwa na lengo la kujinufaisha wao na wale wanaomzunguka na kuwasahau wale waliowachagua. Je, ni mdudu gani aliyeingia katika...
Chama cha demokrasia na Maendeleo kikiwa kiko mbioni kuingia ikulu 2015, kikiwa kwenye mikakati na utayari haitakuwa rahisi kwani wapinzani wao CCM wanatumia njia zote kudhoofisha mapambano haya...
Mussa Mwangoka, Nkasi.
BAADHI ya wakazi wa kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa wametaka katiba mpya ijayo itambue dini kuwa ni sehemu ya muhimili wa dola.
Mmoja wa wakazi hao, Hassan...
najiuliza hivi ni kwa nini?rais kikwete sijamsikia hata siku moja akikemea na kuonesha kukerwa na ufisadi.nasikitika sana mheshiwa rais anaposhindwa kupampana na masula ya rushwa na ufisadi...
Inawahusu Makamanda wa CHADEMA,Tunatarajia kufanya uchaguzi Mdogo Kata ya usa river,Arumeru kwa ajili ya kupata Wenyeviti wa vitongoji Tisa kata ya Usa river kwahiyo tunaomba Msaada wenu ili...
MAONI YANGU KUHUSU KATIBA MPYA
1) MUUNGANO
Hakuna ubishi kuwa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ni wa kipekeekatika Afrika na Dunia nzima. Upekee wa muungano huu hautokani tu na...
NAOMBA wana jf mnijulishe mama salome mwambu yuko wapi kisiasa? baada ya hapo nitajaribu kutoa wasifu wake kwani nilishawahi kufanya naye kazi ila sikumsikia katika hekaheka za uchaguzi ndani ya...
Taarifa za ujio wa Dr Slaa hapa Lwenzera kesho kwa ajili ya kuendelea kumnadi mgombea wa udiwani kamanda IBUGA zimezidi kuwa koroga zaidi ccm ambao mpaka sasa hawajazindua kampeni zao rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.