Chadema yaamsha hisia za watu tabora- isevya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yaamsha hisia za watu tabora- isevya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapya, Oct 13, 2012.

 1. k

  kapya Senior Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Operation sangara zindua tabora inayoratibiwa na bavicha wilaya imeamsha akili za watu na kuwafanya wafunguke akili zao.mkutano huo wa hadhara ambao uliambatana na viongozi mbali mbali kutoka mkoa,wilaya na makamanda wa vyuo mbalimbali kama saut-tabora,ttc,dodoma,st.john na taasis ya elimu ya watu wazima.mambo yalizungumzwa katika mkutano huo yamewafanya wakazi wa isevya kuipokea chadema na kufahamu namna viongozi wao hasa magamba wanavyowachezea.na wakazi wengi wakaamua kuachana na ccm na kununua kadi za chadema na wakiamini kuwa hiki ndicho chama tumaini pekee baada ya ccm kushindwa kuwaletea maendeleo kwa miaka hasini ya uhuru.

  Mada zilizozungumzwa
  1.maadili ya viongozi na utawala bora.
  2.mchakato wa katiba mpya
  3.ushiriki wa wananchi katika siasa ya tanzania.
  4.ufisadi wa viongozi wa halmashauri ya manispaa.
  5.maendeleo kwa ujumla.

  Matamko
  1.halmashauri ya manispaa kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutafutia ufumbuzi suala la uhaba wa chakula na gharama.
  2.serikali kuacha mara moja kuhamisha watumishi wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi mfano mkurugenzi wa halmashauri ahamishiwa uyui toka tabora manispaa.
  3.viongozi wa mitaa,kata,na mabalozi wa ccm waache kuwatisha wananchi na wakazi wa tabora.

  Mafanikio
  1.tawi la chadema kata ya isevya limefunguliwa rasmi.
  2.wamepata wanachama wapya 165.
  3.kumalizika kwa mkutano katika hali ya amani na utulivu.

  Peoples ...............................m4c.............................power............twanga kote kote..........hakuna kulala mpaka kieleweke
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera mkuu endelezeni mapambano wala msichoke maana mtalipwa msipozimia mioyo. Tuko pomoja tunawaombea wote wanaojitolea kwa ajili ya kuupeleka ujumbe wa CDM vijijini na mjini!
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuko pamoja kamanda. Nasi tunaendelea na mapambano huku Sikonge kwenye kata ya Ipole na Kiloleli kwa ajili uchaguzi wa madiwani kwenye kata hizo tar 28.10.2012.
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hongereni makamanda.. Isevya imesahaulika sana.. Na ni ngome kubwa ya ccm...
   
 5. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M4C~ Hakuna~Kulala, Mpaka~Kieleweke..... Msichoke MAKAMANDA ushindi hupo njiani, harakati hizo MaGAmbA yatapukutika tu....
   
 6. t

  tata mura JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimeipenda hii; na wakazi wengi wakaamua kuachana na ccm na kununua kadi za chadema na wakiamini kuwa hiki ndicho chama tumaini pekee baada ya ccm kushindwa kuwaletea maendeleo kwa miaka hasini ya uhuru.

  Kumbe walienda kufanya biashara siyo kuelimisha wananchi waamke kimaendeleo. Angalia vipaumbele watoa maada walivyokuwa navyo, je nani hawezi kusema waliyosema hata wenyeji walikuwa wanajua kabla hawajaambiwa. Chadema kweli ni wafanyabiashara kwenye uchaguzi wa mwaka 2010, walikuwa na biashara ya kuuza picha ya Dr. Slaa, Kadi, Calender, nk. Siku zote mfanya biashara hapati halali waulize kwenye mauzo ya kadi TRA wamepeleka kiasi gani au kujisifia tu bila kujua wapo wanaojua kabla hujasema. Tujenge Nchi yetu siyo tuungane kubomoa.
   
 7. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wapi picha?
   
 8. Fisadidagaa

  Fisadidagaa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 901
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kaza mwendo makamanda.
  Peoples..........!
   
 9. J

  JBK Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  tunawajua watu wenye mawazo mgando kama wewe na wenye kuendelea kurudisha nyuma maendeleo na mabadiliko yanayofanywa na vijana hila kazana kaka,makamanda hatuogopi wala nini tunaendelea hapa tabora na operesheni yetu mpaka kieleweke
   
 10. t

  tata mura JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijasema msiendelee kuuza kadi na mauzo mengineyo, ila je ukombozi utaletwa kwa mauzo kama hayo?. Hapa ni kucopy na kupaste, zamani watu walichangia chama kwa sababu kilikuwa hakina ruzuku na kama ilikuwepo ili kuwa kidogo sasa, leo mfano Chadema wanapata Tshs. 230 Million kwa mwezi na bado mwenye kidogo ana hamasishwa na kunyang'anywa kidogo alichonacho kuongezea kwenye kikubwa. Kwa hili kama nawe unalitetea basi nawe unapata chochote tena kazana kabla wananchi hawajashtuka. Waweza kukuta mwanasiasa anasimama jukwaani na kusema usichangie maendeleo ya mfano ya kujenga nyumba ya mwalimu, ila mwishoni anaomba mchango wa kuendeleza chama. Tafakali mwendelezo wa Chama ndo CCM waliokuwa tangu uhuru hadi sasa, nawe bila kusimuliwa unashuhudia maendeleo ya kijamii yalivyo sasa. Chukua hatua tujenge nchi yetu na si kuibomoa
   
 11. E

  Elisante Daniel New Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haro,

  Hatutaendelea kujenga ufisadi..... tunataka mabadiliko....
  CCM ni kama mfuko uliotoboka, haujai kabisa, bora mfuko mwingine tuanze kuujaza ambao haujatoboka tutaondoka na mzigo.

  Peoples power!!!!!!!!!!
  M4C!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  naomba salio la akaunti zetu za uswisi!
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  asante mkuu lakini twaomba picha pia tuone wenyewe. mia
   
 14. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Picha Mkuu...Mzee Mwanakijiji ametufundisha kuwa picha zinajieleza zenyewe hatakama itakuwa ya watu 10...
   
 15. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Kalinho kukaya! Wanyamwezi tumesahaulika sana mpaka Magamba wanahisi wanahisa ya kudumu na mkoa wetu na ndiyo maana maendeleo hawayaleti! Binafsi sina chama lakini siipendi CCM kwa jinsi ilivyotuchakaza wanyamwezi! Mpaka karne ya 11 mkoa haujaunganishwa kwa lami na mikoa mingine hata barabara moja? This it more than too much!
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm imetumia mtaji wa udini hasa waislamu kuvuruga amani tuliyo nayo kwa kulazimisha kukaa madarakani,matokeo ya mbagala na kiongozi wanchi kikwete kushindwa kukkemea hadharani ni dalili tosha kuwa mheshimiwa anaunga mkono hayo matendo au anogopa kuwa watatoa siri za makubaliono hao waumini.kikwete ametumia ukanda kuvuruga ccm yake na hata taifa hii sio siri,na tutegemee mambo mawili kabla ya uchaguzi 2015 vita ya kisiasa hasa ccm na chadema na hii ni kutokana na serikali ya ccm kuzidiwa ngumu na hoja za chadema.lakini la pili ni vita ya dini ambayo anayesoma hii atanikumbkua kuwa ccm wako tayari waislamu na wakristo watwangane kusudi wabaki madarakani,hivi kama si busara za viongozi wa kikristo na wao wakianza kulipa kisasi kweli kikwete utapita wapi kuelekea bagamoyo?lakini dalili zote zinaonyesha machafuko makubwa yanakuja kabla ya 2015 na hii ni sanbabu ya kikwete kuwa dhaifu wa kutokukemea maovu ya makundi ya wahuni wa dini moja mungu ibariki tanzania takbihi na haleluya visitugawanye na kikwete akimaliza muda wake ahojiwe kwa haya.
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Natamani ningekuwepo, anyway ngoja nikienda kwa Xmas nikawape tafu wakukaya!

  Big up M4C
   
 18. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hao walienda wenyewe wakaelezwa wakaelewa na kufanya maamuzi sahihi hawakubebwa na malori wala kudanganywa kwa pilau na vijisenti vya kifisadi.
   
 19. n

  nemasisi JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 1,881
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa, ukombozi gani unaozungumzia ambao hauwezi kuletwa na michango ya wanachama wake yakiwemo mauzo ya kadi? Hujui michango kama hii ndo inayoendesha mikutano midogo midogo huko wilayani? Au una maana ruzuku ya chadema ni kubwa sana kwahy inatosha kwa mishahara na kuendesha chama nchi nzima kiasi kwamba hawahitaji tena michango ya wananchi? Kama ni hivyo sasa sijui ccm tuwaweke wapi maana wanapata zaidi ya mara tano ya ruzuku ya cdm..
   
Loading...