Hali ya muungano wetu ipo Mashakani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya muungano wetu ipo Mashakani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joshua Bukuru, Oct 13, 2012.

 1. J

  Joshua Bukuru Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 25
  Ndugu wana-jamiiforums, tukubali au tusikubali hali ya muundo wa muungano tulionao haibebeki tena. Huu muungano wa serikali 2 hauna nafasi tena katika dunia ya utandawazi. Nayesema haya kwa sababu nimewasikiliza wanzibar katika makongamano yao, juu ya elimu ya uraia na jitihada mpya za tume katika kukusanya maoni ya katiba mpya. Wameapa kuwa liwalo na liwe kwa maana kuwa tusipokubali (watanganyika) muundo wa serikali 3 basi na muungano uvunjike. Hizi ni kauli zao. Japokuwa Mwl Nyerere alitahadharisha hili, yeyete atakayekuwa wa kwanza kujitenga, basi upande wa pili utabaki salama.Na nje ya muungano, hatuna zanzibar bali tuna Unguja na Pemba. Na hii inaweza kuwa kwa sababu ya ujinga au ulevi wa madaraka wa viongozi wao. Sasa wameanza na si kwamba kuwa watanganyika nao wanafurahishwa na muundo huu...
  Pia nimesoma magazeti kuwa Rais wa Zanzibar Shain naye ameapa kuulinda muungano kwa gharama zote, kisa ni kwamba sera ya CCM ni kulinda muungano na si kuvunja muungano. Kama kweli kasema hivyo basi, mimi najiuliza maswali yafuatayo:?
  1. Je, yuko tayari kulinda maslahi ya CCM kuliko ya wananchi wa Zanzibar waliomwanjiri katika nafasi hiyo aliyonayo? Ukweli ni kwamba if they voted for him, they can also devote for him. Haki hiyo wanzanzibar wanayo na asiwapuuze katika maoni yao.
  2.Rais Shain hazungumzi auhatamki ni sababu zipi zitamfanya apuuze madai ya wazanzibar ambao ndiyo wengi kuliko hizo sera za CCM zisizobadirika. Kuitwa kiongozi ni kutanguliza maslahi ya watu wako unaowaongoza. Au ni ule woga na fadhila za kutowaudhi viongozi wa Tanganyika waliompa nafasi hiyo ya urais, maana zanzibar imekuwa ikichaguliwa viongozi na CCM-tanganyika.

  Sasa basi, tuanze kuwaza serikali 3 au 1 maana 2 haiwezekani tena. Nina wasiwasi hizi serikali 2 zinaweza kutufikisha kwenye serikali sifuri(0). Tukiwa nazo tatu basi na mfumo wa mahakama zetu itabidi ubadilishwe, na hapa chini nimeambatanisha mfumo wa mahakama zetu unavyotakiwa kuonekana. Ni maoni yangu tu na napenda tujadili kama watanzania. Sasa nasema karibuni sana...
   

  Attached Files:

 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  AAh Muungano huu mimi soni faida yake wauvunje tu Mother Tanganyika yetu irudi
   
 3. A

  Albimany JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Joshua,
  Wewe ni miongoni mwa watanganyika wachache wenye uelewa hasa wa hapa jamiifurm kuhusu muungano
  Nadhani ni baada ya kufuatilia kwakina kinachojiri zenji.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Joshua Bukuru, naona unaongea serikali tatu which means kutakuwepo na muungano at some stage. Labda nikuulize, kwanini Zanzibar watake kuungana (hata kwa remote control) na 'mkoloni'?. Uliona wapi mtu anataka mkataba na 'mnyonyaji?
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hivi wewe bado unajiuliza juu ya muungano? Tanzania yetu ya amani na mshikamano aliyotuachia Julius Nyerere nayo imo mashakani. Angalia yanayotokea Mbagala. Soma Al Nuur. Sikiliza ile redio ya Morogoro (nimesahau jina lake) Hii ya muungano ni cha mtoto.
   
 6. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  MAISHA yangu yote nimeshuhudia aslimi 90 ya nchi zenye migogoro ya kudumu ni zile zenye waislamu wengi. kama watanganyika tunataka amani ya kweli tuachane na wazanzibar ni watu hatari. ni walalamishi,wavivu na wanao penda kusaidiwa sana. angalia somalia,sudani,mali, ivorycoast,chechnia, iraq,afaghanistan, sahara magharibi n.k
   
 7. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 80,848
  Likes Received: 79,988
  Trophy Points: 280
  jamani muungano umebaki wa kichama tu! ccm ikianguaka leo hakuna muungano tena zanzibar imeshakuwa nchi kamili
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145  Kwa Miaka 50 Umeona FAIDA yake zaidi ya kuletewa UBAGUZI na UNYAMA wa Unguja kuja Bara? Sasa Mfano UAMSHO; Wanafundisha Waislamu wa BARA jinsi ya KUBAGUANA kati ya waislamu na wakristo...

  WAACHE wa-unguja WAONDOKE kama wanataka kumchukua AZAM na Majengo yake DAR abebe hakuna SHIDA...
   
 9. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Joshua Bukuku, uli na mahala fijo nkhamu wangu. Kyala wa kumwanya aye na nungwe amasiku ghosa. Amen.
   
 10. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ni utashi mdogo wa viongozi wa Zanz,na uroho wa madaraka tu. Mi sidhani kama ukimhoji mwananchi mmoja mmoja wa Zanz kuwa anaweza kukupa sababu materialistic za kuvunja Muungano.
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mimi nimekaa huko yaani kimsingi muungano kwao umebaki kwenye makaratasi..
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Tunaihitaji Tanganyika yetu.
   
 13. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 948
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hizo ni chuki zako dhidi ya uislam hivi DRC Congo, ruwanda,burundi, seralion, angalo nk je mauwaji yalio tokea ni sababu waislam wengi hizo nchi ulizozitaja nyingi wamepelekewa migogoro na nchi za magharibi
   
 14. i

  iMind JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,906
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Mfumo wa Serekali za majimbo ndo utamaliza mgogoro. Zanzibar liwe jimbo. Kinyume na hapo Dawa yao ni kuwanyang'anya hata hiyo serikali yao ya sasa na tubaki na serikali moja tu
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tunataka Tanganyika yetu.
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
 17. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi naona ungejaribu kuwa mkweli na sio kuandika unafiki na uwongo. Zanzibar kuendelea kudai haki zake katika Muungano imekuwa kero kwako na kwa mfumo kristo. Hakuna mzanzibari anaetaka kusaidiwa na Tanganyika .
   
 18. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Futa mawazo finyu hayo...Yamemshinda dikteta Nyerere mtayaweza nyie?
   
 19. G

  Gilly Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu, mi nadhani Nyerere alijua namna ya kuwashughulikia. Ameondoka madarakani akiiacha Tanzania iko kamili na hakuna mgawanyiko. Sasa mgawanyiko unanukia kati ya Zanzibar na Tanganyika, tunao watawala wengine madarakani, yeye Nyerere ameshindwa vipi? Tuache kumsingizia mtu ambaye hayupo. Mimi sioni Nyerere ameshindwa vipi na anaingiaje katika hili. Kwani kelele za nini? Zanzibar wakitaka kuondoka ni ruksa. Nyerere alishawaambia kwamba hiyo ni dhambi na itawaumiza wao. Wanaogopa dhambi aliyowatabiria itawarudi?
   
 20. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Let It Go. We do not need zanzibar any more.
   
Loading...