Mpinga ufisadi ndani ya CCM ashinda nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa mpya wa Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpinga ufisadi ndani ya CCM ashinda nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa mpya wa Geita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Oct 14, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Diwani wa kata ya Nzera(ccm) bwana MSUKUMA ameshinda nafasi ya uenyekiti wa ccm katika mkoa mya wa Geita

  Ikumbukwe bwana MSUKUMA aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita baada ya uchaguzi mkuu

  2010,lakini alienguliwa kwa mizengwe na madiwani wa chama chake ambao ni wengi kwa kumpigia kura ya kutokuwa na

  imani naye, mara tu alipoanza kufuatilia tuhuduma za ufisadi ndani ya miradi mbalimbali iliyokuwa chini ya halmashauri,
  hali iliyo zua mtafaruku mkubwa ndani ya chama chake.

  Amewashinda mwenyekiti wa zamani wa halmashauri ya wilaya ya Geita na diwani wa kata ya Kamena ndugu Ikangala na kada wa siku nyingi wa ccm ndugu Luhemeja.
   
 2. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanajuana wao kwa wao.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hamna kitu hapo.
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Gwakisa Gwakisa unatishaaaaaaaaa
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hahaha mtani hujaona thread husika hadi ukaamua ku comment hii maneno mtaa huu? turudi kule kwa gwakisa hapa ni mtaa wa wafu wenye magamba.
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanajuana hao. Tunasubiri kuona moto wake.
   
 7. C

  Concrete JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tafadhari sana, tupe habari kamili, kwa mfano

  1/Alikuwa anaungwa mkono na kambi ipi ya urais CCM?

  2/Mfumo au mtindo wake wa kutoa rushwa ulikuwa ni upi (eg. Rejareja, Jumlajumla, Kimtandao, Chai na vitumbua, Pombe, Wanawake, bahasha, mkono kwa mkono, Simu-pesa)

  3/Kura zikoje?
  4/Matukio ya fujo?
   
 8. Fisadidagaa

  Fisadidagaa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 901
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Usidanganyike,hakuna mpinga ufisadi ndani ya mafisadi,hao ndiyo walewale,tofauti ni kiwango cha wizi tu.
   
 9. G

  GBABA Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  huyo kapotea njia tusubiri muda tu ccm hakuna mpinga ufisadi si mlimuona shulikundo na yule mzee wa simanjiro na mama kilango wako wapi?
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ngoja Ritz aje adadavue,mimi nilikuwa napita tu
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nime heshimu mchango wako mkuu,nikitilia maanani avatar yako pia
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Yeye anachagua wanawake anawapa kadi chumbani.Akimaliza anaita Waandishi wa Habari.
   
Loading...