Uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji tisa kata ya usa river,arumeru kwa dogo janja

kombah

Member
Nov 1, 2010
52
38
Inawahusu Makamanda wa CHADEMA,Tunatarajia kufanya uchaguzi Mdogo Kata ya usa river,Arumeru kwa ajili ya kupata Wenyeviti wa vitongoji Tisa kata ya Usa river kwahiyo tunaomba Msaada wenu ili tuimalize CCM,Makamanda jana ndio tumemaliza mchakato wa kuteuwa wenyeviti wetu wa CHADEMA uchaguzi ni Tarehe 4,November,2012.Kampeni Itaanza tarehe 28/10/2012.Mtusaidie kama vile tulivyopata Mbunge si mnajua hawa jamaa hawatabiliki utaona Gari la TOT linaingia Usa river.Tunavyopita mtaani wanasema hatuwezi kuukomboa mji mdogo wa Usa river kwani ni Mali yao.

Paopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Tuko pamoja
 
Back
Top Bottom