BAYUME MOHAMED HUSSEIN, MTANZANIA MASHUHURI ALIYEUAWA NA HITLER. ALIVYOTAJIKA. Je, ni jina jipya?, Geni au umewahi kulisikia sehemu?. Hebu leo jipe muda kumuangalia Mtanzania huyu wa tangu na...
Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakibedha uongozi wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J.k. Nyerere kwamba alikuwa mbaguzi kwenye suala/tasinia ya elimu. Binafsi, naona ni kumvunjia hadhi na heshima...
Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Myerere, Profesa Issa Shivji, amewapa angalizo Watanzania kuhusu Muungano kwamba changamoto zinazoukabili zisipotafutiwa ufumbuzi yanaweza kutokea matatizo...
Habari nilizozipata punde ni kwamba Yule afisa uhamiaji aliyekoswa koswa na kijana wa marehemu Barlow kwa risasi, usiku wa kuamkia leo alishambuliwa na watu wasiokulikana na kupigwa nondo...
Katika mambo ambayo mpaka leo sijapata jibu ni kuhusu Lugha inavyoweza changia ukabila na mpasuko katika nchi hii ya Tanzania.
Nchi hii ina makabila takribani 120 na yote yana Lugha zao lakini...
Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo...
Tatizo number moja linalotukabili watanzania ktk nchi yetu ni 'WOGA WA KUTHUBUTU". utakuta watu wanatokwa na povu jingi ktk media esp. mitandao ya kijamii na magazeti ktk kulaani au kukemea na...
Nasikiliza radio imani sasa hivi, wanaongelea kuhusu kukojolewa kwa quran na kuchomwa kwa makanisa.
Wanasema polisi wanatumia kodi za wananchi kuwadhibiti badala ya kuangalia chanzo.
Pia...
Wadau,
Hii nimeikuta kwenye facebook page ya Diwani mmoja wa chadema huko Moshi vijijini. Nikaona si vibaya nikawashirikisha. Hapo nimekopi na kupaste tu:
"Nimetoka kwenye kikao cha Baraza la...
Wakuu,
Hivi karibuni nilihudhuria kikao cha wabunge wa Afrika mashariki kilichohusu utawala bora. Huko nilipata fursa ya kukutana Mtoto wa Rais Mstaafu Ali Hasan Mwinyi ambaye pia ni mbunge wa...
Ndugu wanaJF,binafsi nasikitishwa sana na uendeshwaji wa jeshi la polisi na maadili ya jeshi,kifo cha mkuu wa polisi wa mkoa,tena kifo cha namna hii ni aibu kubwa lakini pia kimefichua udhaifu...
Mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei amesema anaamini chama chake kitaingia madarakani mwaka 2015 lakini hilo haliwezi kutokea kama viongozi wake wataanza malumbano na kuwagawa wanachama kwa lengo la...
Mwandishi wa habari wa Malawi Justice Mponda amefikishwa mahakamani kwa kufungua "kiwanda cha kutunga uongo" kuwa Serikali ya Malawi imemwamuru Balozi wa Tanzania nchini Malawi kuondoka nchini...
Mwaka huu hakuna mshindi wa
tuzo ya Mo Ibrahim ambayo
hutolewa kwa viongozi wa Afrika
walioonyesha uongozi bora
Tuzo hiyo ya dola milioni tatu
nukta mbili, hutolewa kwa
kiongozi wa Afrika...
Nimeona siyo vibaya watanganyika wenzangu nikiwaonyesha baadhi ya vipeperushi vilivyoko Unguja(Stone Town) karibu kila kona nilikutana na ujumbe huu...Je watanganyika mnasemaje...
Tuzo ya Mo Ibrahim ambayo imekuwa ikitolewa kwa viongozi wastaafu wa kiafrika waliofanya vizuri katika Utawala bora kwa mara nyingine tena mwaka huu imekosa mshindi.
My Take
Je Afrika haina...
Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.