Kwa nini baadhi ya viongozi wa Afrika hawaongozi nchi zao kwa uadilifu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini baadhi ya viongozi wa Afrika hawaongozi nchi zao kwa uadilifu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kazikubwa, Oct 15, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inaonyesha idadi kubwa ya viongozi wa Afrika wanapoingia madarakani huwa na lengo la kujinufaisha wao na wale wanaomzunguka na kuwasahau wale waliowachagua. Je, ni mdudu gani aliyeingia katika nafsi zao hadi wanakosa uadilifu? Je hawatamani kupata zawadi ya MO Ibrahim?
   
 2. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Maadili yamemomonyoka yakiambatana na ubinafsi,umaskini n.k
   
Loading...