Pole kusila nasi tuliumia hvo wakati ukiwa wazir na mbunge wa Bahi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pole kusila nasi tuliumia hvo wakati ukiwa wazir na mbunge wa Bahi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msimbejenda, Oct 14, 2012.

 1. m

  msimbejenda Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mzee wa sm (feg) ukiwa wazr wa mawacliano na mgombea jimbo la Bahi uliwahadaa wananch kigwe kwa kujenga jengo na kusambaza nguzo za cm lakin baada ya kushinda uchaguz ukangoa.mtambo na nguzo hukuviuza kumkabil kimbisa Ukimwona bad + well muulize hiyo m1 ya mkuranga alitaka kutmizia ahad gan? SAMAHAN LAKINI
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Kusila kung'oka sawa ila mrangi kuongoza wagogo ni sawa na zali la Obama
   
 3. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  kusilaaa! nakumbuka alipokuwa naibu waziri anasimamia reli, alikomaa jamaa yangu atimuliwe kazi bila sababu za msingi!
   
 4. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kusila alikuwa anafanya Jimbo la Bahi kama lake na kuwaburuza wananchi na kutowaletea maendeleo ya aina yoyote
   
 5. h

  habi Senior Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  who is kusila
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Wagogo wanafaa kuongozwa na watu wa design ya bwana Livingstone Luhende
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukitaja viongozi waadilifu 5 ambao walikua mawaziri na hawakua mafisadi Kusila ni mmoja wao,ni mtu smart,anaichukia rushwa kwa vitendo,alimkatalia Kimbisa mwaka 2010 amuunge mkono kugombea ubunge kwa kumpa 10 milioni,Kusila ndie alie pigania jimbo la bahi kuwa wilaya! tatizo bahi ni wilaya ya wagogo wajinga kuliko wagogo wa wilaya zingine za dodoma,Badwel ni form 4 division 31 aka wahonga pombe akawa mbunge na hadi leo anaipa migogo pombe! Kigwe ni kijiji ambacho hawana kazi ya kiuchumi hawalimi! Kusila ndie alitokomeza wizi wa mifugo dodoma! Binafsi najuta kuzaliwa mgogo! ni kabila la watu maskini wa mawazo na goigoi!
   
 8. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Wewe utakuwa mtoto wake au mke mdogo huyu mzee ***** kabisa ameua RELI ya kati akiwa waziri wa uchukuzi pia kipindi MV BUKOBA inazama yeye ndie alikuwa waziri wa uchukuzi lakini hakuwajibika wala hakuboresha usafiri wa meli ziwa victoria,anamiliki mashamba makubwa ya ZABIBU na MIBUYU uko BAHI kawazurumu wapiga kura wake ardhi siku za hivi karibuni kageuka kuwa VUVUZELA la mafisadi.
   
 9. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bila shaka una bifu binafsi wewe na kusila inawezekana ulikua nyumba ndogo yake siku hizi hakupi matumizi! Dodoma hakuna tatizo la ardhi wagogo hawalimi kabisa,wana anza kunywa pombe saa 3 asubuhi watalima saa ngapi,wasukuma ndio wamevamia bahi wanalima wagogo wanapiga pombe full time
   
Loading...