Shades of sins: Lowassa v/s Membe, Zitto v/s Dr.Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shades of sins: Lowassa v/s Membe, Zitto v/s Dr.Slaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by President Elect, Oct 11, 2012.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mchakato umeanza mapema kabisa: vinara kwa sasa ni Lowassa na Membe kwa upande wa CCM, na Zitto na Dr.Slaa kutoka CHADEMA.

  Kuelekea 2015 vigingi vitakuwepo vingi tu, kwa hao wanne na wengine watakaojitokeza siku za usoni.

  Hata hivyo vikao vya juu vya maamuzi ndani ya vyama vyao vya siasa, ndio vyenye uwezo wa kuamua nani asimame kama mgombea wao.

  Kwa sasa ni mapema mno, ila kuonyesha nia si jambo dogo, yataka moyo.

  Kibwagizo cha shades of sins kinaashiria kuwa rushwa ikitumiwa na hawa wateule, dhambi hiyo itawatafuna hadi kaburini.
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hapo wewe sema ni Lowassa Vs Dr.Slaa
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Miamba ya kaskazini inatisha japo mija ni la kuzimu lowassa na mwingine ni wa peponi dk slaa
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Mada zilezileeeeeeeee
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Lowasa bhaaaaaaaaaassss.
   
 7. p

  propagandist Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais wa jamhuri ya muungano Mh. ZITTO .Z. KABWE.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Watumishi wa chichiem at work!

  Poleni waungwana!
   
 9. p

  propagandist Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti kibabu slaa nacho kinataka eti urais!! hiki padri nacho nani akipe nchi?
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ikitokea hivyo nitashukuru Mungu sana maana atakuwa amejibu maombi.
   
 11. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hapa mleta mada kaleta nini hasa kinachojadilika?kwa nini hakujipendekeza yeye?
   
 12. m

  movichboy JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 212
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  President Elect

  Unajua kuna watu wanapenda sana siasa za mazoea na siasa za vijiweni za kuhisi hisi vitu ambavyo bado havijathibitishwa. Lakini sishangai sana inaonekana unatumia uzoefu wa kufuatilia maigizo (tamthilia) na kuoanisha na mambo mazito ya uongozi.

  Sioni sababu ya kuanza kumhusisha Slaa na Zitto na wakati mpaka muda huu Dk Slaa bado hajatoa tamko la kutaka kugombea uraisi na tayari ameshasema kuwa kwa sasa kipaumbele si uraisi kwani muda bado zaidi ya kujikita na kukijenga chama kwanza na muda ukifika atasema ya kwake. Na hata hao wengine, hakuna alietamka tayari zaidi ya tetesi na hisia za vijiweni ambazo si za kiutafiti.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hivi, nani atampa kigeugeu Zitto nchi? Afadhali Rose Migiro.
   
 14. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  The early the better, kwa nini watu wanajificha nyuma ya vivuli vyao? Zitto katangaza hadharani 2015 hataki ubunge, atawania urais kupitia CHADEMA. Dr. Slaa hajaweka wazi nia yake, ila ni chaguo la wengi kupitia kambi ya upinzani. Lowassa kasi yake kimtandao inadhihirisha lengo lake, Membe wakati wowote akioteshwa urais atajitosa kugombea!

  Tuwe huru kutoa mawazo yetu, iwe ni CCM au CHADEMA, hofu ya nini?
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,484
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Hivi Zitto ana nguvu zipi? kelele za akina Tuntemeke na wale wakosaji wa Bavicha ndio mnaona ni tishio? Mbele ya wananchi Zitto haonekani mtaani (labda Kigoma kidogo) na anaonekana ni ndumilakuwili yaani haeleweki!
   
 16. A

  Anold JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Kupitia vyombo vya habari, nilisikia ikitajwa kuwa Mh Zitto ametangaza kuwa uchaguzi ujao hatagombea Ubunge bali ataelekeza nguvu zake kwenye Urais, kama ni kweli maneno hayo ameyatamka mwenyewe basi nampongeza kwa kuweka bayana nia yake hiyo kwani naamini zitto ni mtu ambaye ni mahiri katika kupigania maslahi ya Taifa.

  Pamoja na kupongeza nia hiyo ya Mh. zitto, ila nivizuri tukafahamu Tatizo la Mgombea aliyepita ambaye alikuwa Dk Slaa maana matokeo yalipotangazwa haikutajwa kuwa mgombea wa CHADEMA alikuwa dhaifu bali hoja iliyopo ni kuwa CHADEMA wameibiwa kura. hilo ndiyo tatizo ambalo zitto pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA walituaminisha na ikumbukwe kuwa hata siku ya kutangazwa kwa matokeo CHADEMA walisusia kuonyesha kutoridhishwa kwao na matokeo hayo.

  Kwa taarifa ya CHADEMA ya matokeo ya UCHAGUZI nafikiri tatizo sio mgombea aliyekuwepo yaani DK Slaa bali ni TUME YA UCHAGUZI KUTOKUWA HURU (kwa maoni ya baadhi ya vyama vya siasa), sasa leo sioni juhudi zikifanywa na Zitto KUPIGANIA TUMEHURU YA UCHAGUZI kuwa huru, kilichopo ni kutangaza nia kana kwamba Dk. Slaa kwa sasa hafai au amepoteza umaarufu(tafsiri yangu) japo mimi pamoja na kuwa sio mwanachama wa chama chochote nahisi bado anauwezo. Nafikiri kuna kitu hatukijui kuhusu Dk. Slaa nitafurahi tukifahamishwa sababu za mh. zitto kujitangaza miaka mitatu kabla kana kwamba hakuna mwingine mwenyeuwezo ndani ya CHADEMA!!
   
 17. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mIPANGO MAHSUSI YA ccm kuhakikisha DR.slaa hapiti maana wanajua hilo ndiyo jembe
   
 18. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Umehit 'bull', pokea 'like'. Sekretariet ya CHADEMA ikae chini ifanye 'postmotam' wapi walijikwaa 2010? Baada ya hapo wafanye mikakati ya ushindi 2015. Wenzao CCM walikaa na kuunda timu ya kubaini kwa nini JK hakupata ushindi wa kishindo, baadae wakaja na suluhisho la kujivua gamba.

  Pengine M4C ni mkakati endelevu wa CHADEMA kushinda 2015, kama ndivyo wajiachie nafasi, kila mwenye kutangaza nia awe huru na mwishoni mchujo utapita kupata aliye bora. Hofu ya nini?
   
 19. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Hivi lile nung'uniko kuwa huenda Zitto ni pandikizi ndani ya CHADEMA limefikia wapi? Isije ikawa ndio sasa huyu jamaa anafanya kazi aliyotumwa kama alivyokuwa akifanya Mrema wa Vunjo....!
  Binafsi nawashauri sana kamati za juu za CHADEMA wasiyumbishwe na nia za watu, bali wafanye kazi kwa umakini katika kumteua wa kupeperusha bendera yao 2015...!
   
 20. J

  JERRY JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamani mi katiba hii mbovu ya sasa sijawahi kuisoma, Nasema ivyo kwa sababu imekuwa kawaida kwa mgombea mwenza wa Urais anatokea upande mmoja wa muungano hususani zanzibar.Sasa sijui ni makubaliano tu ili kudumisha muungano huu tete ulioiua Tanganyika yetu au ni kwa mujibu wa katiba iliyopo. Ila vyovyote iwavyo na kama mchakato wa katiba mpya utarekebisha mambo ya UMRI [ Kwa ndugu yango Zitto] na hili suala la mgombea mwenza lisiangaliwe kama sasa ivi kimuungano-muungano Napendekeza ZITTO ZUBERI KABWE [ZZT]awe mgombea mwenza wa Dr. Slaa na au hata Mbowe vyovyote vile.
  All these are big guns kwa ccm,achilia mbali mambo mbalix2 yanayosemwa juu ya ZZK,i still see him a threat to ccm.
  Nazan ikiwa hivyo kampeni zitanoga sn, maana wkt slaa/mbowe anashambulia south ZZK yuko north, slaa/mbowe yuko east , ZZK yuko west.slaa/au mbowe anaongoza kikosi cha anga , ZZK/ anaongoza kikosi cha infantry.
  Nawakilisha.
   
Loading...