Huku ni kumuenzi Nyrere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku ni kumuenzi Nyrere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mdegella, Oct 15, 2012.

 1. m

  mdegella Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila nikiangali tv nakutana mijadala mbalimbali inahusu Mwalim Nyerere walio ndani ya madaraka na nje ya madaraka wanalalamika, mwalimu haenziwi, hivi ni nani wa kumuenzi jamani ,mimi naona hao waliopo madarakani namaanisha wanasiasa ndiyo muhimili wasibaki wanalalamika.Rushwa wao ndiyo vinara,ukandamizaji niwe muwazi matumbo yao yamewafanya kuwa walalamishi badala ya kazi
   
Loading...