Mwaibula: Kikwete anaichukia rushwa kwa dhati... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwaibula: Kikwete anaichukia rushwa kwa dhati...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SAGANKA, Oct 14, 2012.

 1. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyu mzee, haya mahaba binafsi kwa Kikwete sijui yametoka wapi, nimeshindwa kuelewa kama anachokisema kilitoka moyoni ama kujipendekeza na kuchumia tumbo.

  Wazee kama hawa ambao walipewa sekta nyeti kama EWURA zikawashinda wanatafuta namna ya kujipendekeza wapewe nafasi kama kiinua mgongo. This is slave of mind, and I, personally hate it.

  Kikwete anachukia rushwa kwa dhati? How?

  Source: ITV - Nukuu za Mwalimu
   
 2. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 80
  Ndio maana wakileta za kuleta maji machafu lazima wayaoge, mkuu wa kaya mwenyewe ni mtoa rushwa mkubwa!!!!!!
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu Mzee anasukumwa na njaa yake kusema hata kile asichokiamini. Toka ametolewa kwenye ulaji wa mambo ya usafiri ambapo alikuwa anakaa bar pale Mawela Sinza muda wowote anakunywa bia hata mchana wa jua kali, njaa sasa imemfanya arambe sori za viatu vya Mk.were akijua wazi kwamba jamaa mpenda sifa ataweza kumpa kitengo cha ulaji.
   
 4. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yeye mwenyewe kapata urais kwa rushwa unategemea nini hapo?
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mwaibula anamzungumzia Kikwete yupi?
   
 6. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,053
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana naye.......eh, isipokuwa ya suti!
   
 7. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,606
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huyu mheshimiwa anamaana nzuri kabisa.anafanya mema kabisa japokuwa hakuna aliyekamilika.miaka ya 2000- 2005 kulikuwa na ujambazi,lakn aliukomesha.katika sera za kiuchumi ndo usiseme.kumbuka mabilioni ya kikwete kwa wajasiliamal.na mengi siwez kuyataja yote.hayo ni kwa ufupi.
   
 8. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kauli kama hizi ndio zinazidi kuchochea chuki na hasira za raia kwa watawala wetu, kauli kama hii tafsiri yake ni kejeli na dharau kubwa kwa wananchi, huwezi kuichukia rushwa ilhali umezuungukwa na hiyo rushwa na huna ubavu wa kufanya lolote sababu wewe mwenyewe ni sehemu ya rushwa, hivi hawa watu mbona wanajisahau hivi na kuwaona raia sasa ni mazuzu ambao wanaweza kuambiwa jambo lolote lile na kulikubali . . . .unafiki ni kitu kibaya sana
   
 9. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hayo uliyosema yana mahusiano gani na chuki ya dhati juu ya rushwa?
   
 10. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  They must be having different definition ya RUSHWA, then!
   
 11. m

  mishalejuu Senior Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani TAKRIMA ilitokana na Kikwete? Takrima ilibarikiwa na waziri mkuu msitaafu Sumaye na raisi msitaafu Mkapa na kubarikiwa na wabunge wa enzi hizo. This was the turning point ya rushwa hapa Tanzania. tusimlaumu Kikwete... haya ni matokeo ya yaliyofanyika kabla ya uongozi wake.
   
 12. C

  Concrete JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mkuu umesoma vizuri hii topic au umekaririshwa tu?

  Jifunze kusoma vizuri kabla hujaandika kitu.

  Embu tuambie tatizo lako hasa ni nini? ni pombe, bangi, stress au usingizi?
   
 13. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Even drivers honestly hate driving
   
 14. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Hauwezi kuchukia rushwa, ukaishi, kunywa, kucheka na kushirikiana na watoa/wapokea rushwa. Teuzi nyingi za JK ni walarushwa
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  *JK ni mnafiki mkubwa sana. Itakuja na hadithi zake zile za kuwaongepea maamuma kama wewe eti anachukia rushwa.

  *Embu fikiri wala rushwa wamemuweza JK kuingia madarakani, akawapa vyeo vya juu tena zaidi ya kimoja, anawalinda wasiguswe na mtu yoyote, anawapa zabuni za umma, wanamuhonga suti, halafu mtu anakuja anasema JK anachukia rushwa kwa dhati!! Huo ni uendawazimu kabisa.

  *Ni kweli sheria ya Takrima imefutwa na hata Takukuru wamewezeshwa sana kisheria na kifedha toka JK aingie madarakani, lakini tunayoyaona sasa ni rushwa mbaya zaidi kulilko wakati mwingine wowote toka dunia imeumbwa!!
   
 16. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Kweli anachukia rushwa ndogondogo za kudokoa mboga!!! Kama bad+well mtu mzito unaomba rushwa hela ya mbogaaaa!!!! Ndo maana amemprosecute. Kubwa kubwa hazipendi ila anatoa credit ya creativity na innovation katka udokoaji wa national cake!
   
 17. s

  sony wega JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehehehehe duh jf nizaidi ya xray huyu njumba yake pale sinza ilijaa maji mpaka kwenye makabati hapo alippo hana hata nguo za kuvaa kwani kachoka sana na alikuwa kwenye kitengo cha mamlaka ya leseni DRTLA ikiwa chini ya wizara ya miundo mbinu kipindi hicho na ktk ofisi yake aliweka familia yake na ktk familia hiyo ni mmoja tu ndiye aliyejenga nyumba wengine woote walikuwa ni walevi namalaya wakupindukia ofis inajaa malaya wakinondoni na wa sinza na alikuwa ana benzi lake T245 ABR na alikuwa anavaa kofia kama churk norris full bata na kisa cha zwengwe alimtokea mtoto wa kondoro pindi yuko hapo kwa mkuu wa mkoa
   
 18. n

  ngonani JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,371
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Nilidhani kasema anaichukua Rushwa kwa dhati.
   
 19. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwaibula anajipendekeza.
   
 20. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Nilimwona huyu mzee alivyokuwa anajikomba akiwa na yule anayejiita Balozi wa amani Risasi Mwaulanga! Ukiwaangalia usoni unajua kabisa wanayoyasema hayatoki mioyoni mwao; Isipokuwa ni kazi maalum tu ya kumsafisha asiyesafishika- JK!
   
Loading...