Wataka dini itambuliwe kama mhimili wa dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataka dini itambuliwe kama mhimili wa dola

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 12, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145

  Mussa Mwangoka, Nkasi.

  BAADHI ya wakazi wa kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa wametaka katiba mpya ijayo itambue dini kuwa ni sehemu ya muhimili wa dola.​

  Mmoja wa wakazi hao, Hassan Mustapha alisema jana wakati akitoa maoni yake mbele ya tume ya kukusanya maoni kundi la mkoa wa Rukwa, iliyotembelea kata hiyo na kufanya mkutano wa hadhara wa kukusanya maoni hao.​

  Alisema kuwa viongozi wa dini wamekuwa kimbilio la viongozi wa Serikali katika kuomba mchango wa mawazo juu ya uendeshaji wa nchi,kufanya maamuzi magumu hivyo kwa kuzingatia umuhimu wa viongozi wa dini ipo haja sasa watambulike kwenye katiba ijayo na dini iwe muhimili wa nne wa nchi.​

  Alisema kuwa Katiba isiishie kuwatambua tu viongozi hao lakini wawe na wizara yao ambayo itashugulikia masuala mbalimbali yanayohusu dini pasipo kuingiliwa katika utendaji wake.​

  "alisema kuwa kama ambavyo waandishi wa habari wanataka kutambuliwa kuwa sehemu ya muhimili wa nchi basi sasa na viongozi wa dini watambuliwe kwenye katiba hiyo ijayo, wana nafasi kubwa katika kusaidia maendeleo ya nchi" alisema Mustapha.​

  Aliongeza kuwa katiba hiyo pia iweke mgawanyo sawa wa madaraka miongoni mwa watumishi wa Serikali kwa kuzingatia dini zote.​

  Naye Iddy Ally alipendekeza katiba hiyo kuitambue mahakama ya kadhi na umoja wa nchi za kiislamu (OIC) kwa kuwa havina madhara yoyote kwa nchi.​

  Hata hivyo alidai kuwa vyombo hivyo viwekewe utaratibu wake pasipo kuingiliwa huku vikiwa na kanuni zake zinazoheshimika.​

  Alipoulizwa na mjumbe wa tume hiyo Richard Lyimo iwapo anafahamu maana ya OIC hakuweza kufafanua lolote zaidi ya kueleza kuwa si jukumu la mjumbe huyo kumuuliza swali badala yake anapaswa kuchukua maoni yake.​

  Awali akitoa maelezo kuhusu utoaji wa maoni ya Katiba mpya ijayo, Mwenyekiti wa tume hiyo kundi la mkoa wa Rukwa, Ester Mkwizu alisema kuwa wananchi wanapaswa kutoa maoni yao bila woga kwa kuwa ipo sheria inayowalinda kufanya hivyo.​
   
 2. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Sasa huyo anasema oic haina madhara kwa nchi,hawajajiunga lakini wanachoma nyumba zetu za ibada,wakijiunga si ndo watatuchinja kabisa.hatutaki.
   
 3. a

  adolay JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Mkuu hakuna cha faida wala jirani yake yaani amani.

  Mbona somalia na sudani hatuyaoni hayo maendeleo?

  Hapo ni kiini macho tu, malengo yapo mvunguni.
   
 4. Mtingaji

  Mtingaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 1,217
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kwani bila OIC hakuna maisha? Badala ya kupigania rasilimali zinazoporwa na masisiem katika nchi yako, unataka uwe ombaomba kwa waarabu! Shame on him Maamuma!
   
 5. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina hasira na hawa wafuga majini
   
 6. p

  propagandist Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliisha wahi kukuchapa nao matakoni nini, maana huwezi kumchukia mtu namna hiyo huwenda kuna kitu mbaya walikufanya?
   
 7. J

  Jumaane Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Aaaah, Majini, (mapepo) yashindwe na yalegee, na yatoke kwa jina la yesu. ameen
   
 8. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huyu hajapigwa ban?Kesho mimi gwaki nachoma Qur'ani kwa neno hilo alomtamkia huyu bwana!Haya ni maneno ya shetani ambayo yanapaswa msikitini tu na sio hapa JF
   
 9. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Allah ni mungu dhaifu anaabudu watu ili wampiganie kwa kuchoma makanisa!..Ukristo upo kwenye mioyo ya watu wala si majengo hivyo hata ukichoma makanisa yote mungu atalijenga kanisa lake na kushughulika nanyi!!Kama kule nungwi znz au MV Scagit...Ila allah anayetegemea apate heshima kwa wanadamu kwa dhambi ndiye atakaye athirika kwa kukojolea qur'an maana hana nguvu ya kujipigania Dhaifu kama JK
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  "Mtakadini", maneno ya Nyerere ya kumkebehi Sheikh Takadiri kwa kuwa tu alimwambia ukweli Nyerere mbele ya hadhara ya watu hapo Mnazi Mmoja, kuwa "huyu atatugeuka". Na kweli!
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hili zoezi la kukusanya maoni ya katiba miongoni mwa watu wasio elimu ni a "comedy of errors".

  Dini iwe muhimili wa dola, dini gani sasa?
   
 12. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Wanazidiwa akili hadi na wale panya wanaotegua mabomu
   
 13. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ok............ angesoma uraia vizuri na dini vizuri angeelewa tofauti yake

  naona anadhalilisha tu dini
   
 14. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Ukiona mtu anadhani maendeleo ya yataletwa na wajomba kama OIC,WORLD BANK and the like muogope kama ukoma hana jipya. maendeleo huja kwa kufanyakazi kwa bidii,juhudi na maarifa.hao OIC wao utajiri wa kukuletea wewe wanaupata kutoka wapi? maliasili zetu zote hizi bado kuna watu wanawaza vya kuombaomba mpaka leo? ni nini hasa kinawafanya watu wawe na hulka ya kupenda vya bure.
   
 15. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  malengo gani yaliyo uvunguni? Na hicho kiini macho ni kipi? Acha kupotosha, pinga hoja kwa kuleta ubainifu ili watu wachague pumba na mchele, hivi ungesema kwa mfano madhara ya oic ni 1, 2, 3 na 4. Na faida zake ni kadha kadha si ungewasaidia waislam kujua ukweli wa kile wanachoking'ang'ania ambacho hakina faida kwao?
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuwageuka akina nani? Waislamu? Nyerere hakushiriki katika harakati za uhuru kuwafaidisha Waislamu peke yake.
  Takadir alikuwa on the wrong side of history.
   
 17. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  nahisi watu mnaogopa bila kujua mnaogopa nini, wengine wanataka wakidhani dini yao ndo itakamilika
   
 18. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,683
  Likes Received: 877
  Trophy Points: 280
  qur'an ndo ilomwongoza aongee hayo yalokuudhi? Je unaposema maneno hayo ya shetani yapaswa yaongelewe msikitini unataraji nini kwa waislamu? Tunatofautiana tu itiqadi jinsi tunavomuabudu mungu wala haitupasi kukashifiana hivo mkuu, utafurahi kuona kitabu chako kitukufu kuona kimefungiwa maandazi? Si kuchoma!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nakubali 100%, kwa kuongezea tu, aliwafaidisha Wakatoliki peke yake.
   
 20. a

  adolay JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Mkuu ndo nakuuliza kwa hoja.

  Jenga hoja yako utushawishi ni kwa vipi OIC Imechangia maendeleo ya Somalia na sudani?

  Kwa mfano huo huo wa somalia na sudani, utushawishi basi kwamba OIC kama moja ya madai ya Ponda na washirika

  wake na kwamba Ponda ameonesha uchochezi mkubwa katika jamii ya watanzania. Watanzania waislamu kwa wakristu

  na imani zingine
  tumeishi kwa miaaka mingi kwa amani, upendo na ushirikiano. Je msimamamo wa ponda unatoa

  pichagani hasa kama kiongozi mpigania OIC?
   
Loading...