Maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by GEROTE, Oct 11, 2012.

 1. G

  GEROTE New Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwakumbusha watanzania wote hasa wale tunaoishi maeneo ya vijijin tujitokeze kutoa maoni yetu kikamilifu.!
   
 2. L

  LISAH Senior Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijiji hivi cya tz vina Internet?
   
 3. b

  benebantu Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  TAFADHALI : JF Members na Watanzania wote Wenye Mapenzi Mema kwa nchi yetu TANZANIA hamasisha kila mwananchi anayeweza kutuma maoni kwa njia ya POSTA kufanya hivyo.Pia Hamasisha wananchi wengi kadili iwezekanavyo watume Maoni ya MABADILIKO ya Katiba kwa kutumia barua pepe(Email and or email with email attachments) Wengi wa watakaoweza kutoa maoni ana kwa ana kwenye mikutano ya kukusanya Maoni ya Mabadiliko ya Katiba SHIRIKINI kwa wingi tafadhali.Msiwaachie watu wachache wenye Jukwaa la hiki au Jukwaa la kile ndio wao pekee watoe maoni juu ya mabadiliko kadha wakadha ya KATIBA ya TZ!!!!!!!!http:[h=3]Anuani - Zanzibar[/h]
  • S.L.P: 2775,
   Zanzibar.
  • Simu: +255 24 2230768
  • Nukushi: +255 24 2230769
  • Barua Pepe: katibu katiba.go.tz

  Tovuti Tume ya Mabadiliko ya Katiba[h=3]Anuani - Dar es Salaam[/h]
  • S.L.P: 1681,
   Dar es Salaam, Tanzania.
  • Simu: +255 22 2133425.
  • Nukushi: +255 22 2133442.
  • Barua Pepe: katibu katiba.go.tz


  Tovuti: Tume ya Mabadiliko ya Katiba
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...