Naomba kujua kuhusu Vijiji au Miji inayotembelewa na Tume ya Katiba mpya vina sifa gani ya ziada

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Naomba kujua kuhusu Vijiji au Miji inayotembelewa na Tume ya Katiba mpya vina sifa gani ya ziada. Nimejaribu kufuatilia baadhi ya wadau wa mitandao hasa Facebook na Kukuta kuwa wanalalamika Tume inaenda sehemu ambazo hazina uelewa mkubwa wa katiba na vina upendo wa dhati na vyama fulani. Mwenye data za vijiji naziomba hata baadhi tu ili tupate mwanga wa kufuatilia kiundani
 
Back
Top Bottom