Afrika hatunaye kiongozi mwenye sifa hizi..........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika hatunaye kiongozi mwenye sifa hizi..........?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sinafungu, Oct 15, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Tuzo ya MO IBRAHIM imekosa kiongozi, stahiki.
  tuzo hiyo ya dola mil 3.2 hutolewa kwa kiongozi wa Nchi yeyote AFR aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia, na kuondoka madarakanikwa hiyari, jamani hivi baaada ya Rais mstaafu wa msumbiji CHISANO ndo hakuna tena........................?
   
 2. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna wengine wawili walishainyakua hii kitu. Lakini pia sifa si kuingia tu madarakani kidemokrasia na kutoka kidemokrasia bali ni jinsi gani ulivyowatawala watu wako! Unaweza kuingia madarakani na kutoka kidemokrasia lakini wakati wa utawala wako ulitumia hiyo demokrasia kujilimbikizia mali ama kuwatawala watu wako kwa kuwanyima demokrasia. Vigezo ni vingi mkuu na viongozi wengi wa Afrika kupata hiyo kitu ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano!
   
Loading...