OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 227
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Katika kile kinacho ashiria kuwa mwisho wa utawala wa ccm unafikia mwisho, viongozi na makada wengi wa ccm wame ona kuwa matumizi ya nguvu, vitisho na unyanyasaji ndiyo njia mbadala ya kuki imarisha chama badala ya kutekeleza ahadi ya maisha bora kwa watanzania .
Jana Mwenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha wa kata ya msalato amekamatwa na polisi pamoja na wenzake baada ya kumshambulia na kumuumizaa vibaya mzee Benard wa mtaa wa Mwinyi .
Tukio hilo lilitokea juzi baada ya huyo mzee pamoja na wazee wenzake wapatao 20 kuunda kikundi cha kwaya kuipongeza cdm na mgombea wake wa Udiwani kata ya Msalato kamanda Nsubi. Maandalizi ya kikundi hicho cha kwaya ya Wazee yalikuwa yakifanyikia nyumbani hapo kwa Mzee Bernad.
Mzeea Bernad mwenye umri wa miaka 79 ,yuko hoi hospital ya mkoa Dodoma wodi no.1, uongozi kampeini kata ya Msalato chini ya Kamanda Mawazo Alophonce wanatoa huduma kwa mzee tangu juzi.
Hivi CCM kwa vitendo hivi ndo kumu enzi Baba wa Taifa? Hivi kwa vitendo hivi ndo kujivugua gamba? Yetu macho lakini kamwe ubaya hauja wahi shinda wema. Vilevile giza halija wahi shida nuru . Naomba kuwasilisha. SOURCE : MAWAZO MWENYEWE.