Arab uprising Vs Zanzibar uprising

ablood8

Senior Member
Aug 12, 2010
181
90
Kuna kila dalili ya kile tulichokuwa tunakiona kwenye nchi za kiarabu kukiona Zanzibar kwa sasa. Serikali isipochuwa hatua kwa sasa,UN wata impose no 'tear gas zone' maana baadae itaonekana madai ya ya kujitenga yana msingi.
 
Funguka mkuu manake ukishindwa kueleweka jf hakuna mahali pengine duniani unaweza sema kitu ukasomeka
 
madai kujitenga yana msingi sana kama mtanganyika nawaunga mkono asilimia mia tatizo kuchinjina ...na kuchoma ofisi za ccm
Kuna kila dalili ya kile tulichokuwa tunakiona kwenye nchi za kiarabu kukiona Zanzibar kwa sasa. Serikali isipochuwa hatua kwa sasa,UN wata impose no 'tear gas zone' maana baadae itaonekana madai ya ya kujitenga yana msingi.
 
Kuwaacha tunaweza lakini ulasama wetu nao tunauacha? Mihadhara ya dini lazima iangaliwe upya, uhuru wanaopewa watu hawa wameutumia vibya. Mihadhara ndiyo chanzo cha kulisha sumu vijana na kuanza kufanya vituko kam hivyo vya kuchoma makanisa, mabaa na mara wataingia kwenye nyumba za watu wenye imani tofauti.
 
Leo hali imetulia? Jana kulikuwa na ujumbe ndani ya forum kuwa wataandaman tena leo baada ya swala ya Ijumaa. Mwenye habari atujuze.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom