swali kwa wana-CCM tu!!

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Kwa kutumia busara nyepesi nyepesi, hivi haya yote yanayotokea ikiwemo;

  • kuuwawa kwa RPC mwanza,
  • Kuchomwa kwa makanisa na mauajaji mbagala,
  • vurugu za kukamatwa muhuni ponda,
  • Vurugu zanzibar na
  • kuuwawa na kuchinjwa kwa askari
  • Kutangazwa kwa baa la njaa

Je nibusara raisi na jemedari mkuu wetu kuendelea na ziara ya kutembelea na kushangaa kasri ya mfalme wa omani na kutembelea miskiti huko omani. Je tunahitaji wachuuzi kutoka omani kiasi hicho? Je nijambo gani litokee hili raisi akatize safari yake na kurudi?
 
Ndugu yangu kwake kila kitu ni upepo wa kupita ndiyo maana hana hata mshipa wa kushituka. Aliyesema rais wetu ana roho ya jiwe hakukosea kwani angekuwa mtu wa kawaida angekuwa amelazwa APOLO.
 
kwa kutumia busara nyepesi nyepesi, hivi haya yote yanayotokea ikiwemo;

  • kuuwawa kwa rpc mwanza,sasa kwani wamemua ccm?polisi kama taasisi wanafanya uchunguzi.
  • kuchomwa kwa makanisa na mauajaji mbagala,waliochoma ccm kwani?polisi wamechukua hatua za kisheria.
  • vurugu za kukamatwa muhuni ponda,ndio! Serikali imemkamata maana anavunja sheria.wanaofanya fujo nao watashughulikiwa kisheria.
  • vurugu zanzibar na;sasa wewe unashauri serikali ya z'bar ifanye je zaidi ya kuwakamata wafanya fujo
  • kuuwawa na kuchinjwa kwa asikali;unadhani kawawa na ccm?
  • kutangazwa kwa baa la njaa;unadhani ccm wanaweza kuleta mvua ili chakula cha kutosha kipatikane?
je nibusara raisi na jemedari mkuu wetu kuendelea na ziara ya kutembelea na kushangaa kasri ya mfalme wa omani na kutembelea miskiti huko omani. Je tunahitaji wachuuzi kutoka omani kiasi hicho? Je nijambo gani litokee hili raisi akatize safari yake na kurudi?
unadhani raisi anatakiwa asiendelee na shughuli zake za kila siku maana ponda kakamatwa?unapowauliza ccm maswali,hebu uliza maswali magumu bwana! Sio kuuliza maswali simple kiasi hiki.
 
Huyo "kawawa" ni mzee wetu Rashid Kawawa marehemu ama? Hii ndio inaitwa sikio la kuambiwa...
 
unadhani raisi anatakiwa asiendelee na shughuli zake za kila siku maana ponda kakamatwa?unapowauliza ccm maswali,hebu uliza maswali magumu bwana! Sio kuuliza maswali simple kiasi hiki.

The Msg here is simple....haya ni matokeo ya serikali ya ccm dhaifu, viongozi dhaifu, ruhwa, serikali iliyojaa blaablaa tu!
 
the msg here is simple....haya ni matokeo ya serikali ya ccm dhaifu, viongozi dhaifu, ruhwa, serikali iliyojaa blaablaa tu!
hivi ccm inahusika je na waislam wanaotaka kufanya fujo?ccm inahusika vipi na mtoto kuchafua kitabu kitukufu?rushwa inahusikaje na kuchomwa kwa kanisa?aisee unachanganya matukio bwana!
 
Tatizo rais kapoteza dira,nidhahiri analeta udin ktk uongozi wake anatetea usenge mpk anakera,wa2 wamebaki kimya cyo kusema niwajinga hapana ila basi tu nibusara tu,kashindwa kuiongoza nchi itafika mahala waislamu watagoma na kuandamana akiwa rais mkristo bali ni ushenzi walionano naiman wataandamana ikitokea hivyo,shenz type kabisa hawa
 
hivi ccm inahusika je na waislam wanaotaka kufanya fujo?ccm inahusika vipi na mtoto kuchafua kitabu kitukufu?rushwa inahusikaje na kuchomwa kwa kanisa?aisee unachanganya matukio bwana!


ni ccm imeunda serikali na kutupa viongozi wasio na maamuzi wala busara, wasiomfano mzuri katika jamii kwa sababu ya rushwa, blaablaa zao. viongozi wasioweza kutoa maamuzi magumu. mfano huu uhuni wa ponda na mwenzake wa uhamsho umekuwepo muda mrefu mpaka sasa umeota mizizi kiasi wanafanya wanavyotaka na serikali sasa ndo inaamuka. Jamaa nilimuona kwenye ITV akiwa ameinua kichwa juu anashangaa kasri la mfalme wa omani!!!!
 
Back
Top Bottom