PICHA:Dr Slaa alivyomnadi mgombea wa CHADEMA kata ya Mwawaza-Shinyanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA:Dr Slaa alivyomnadi mgombea wa CHADEMA kata ya Mwawaza-Shinyanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 19, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  Huu ni mkutano wa kumnadi mgombea wa CDM wa udiwani katika kata ya Mwawaza ulioongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbroad Slaa.Kumbuka huu ni mkutano tu katika mojawapo ya vijiji vya kata hiyo.
   
 2. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,441
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ni njema hyo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Raha moyoni...Afya mifupani!
  Dr Slaa, wewe ni mkombozi No1 Tanzania...acha wengine waendelee kutalii kwenye mabembea huko Oman!
   
 4. l

  luhombi Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  big up comrades
   
 5. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chadema inatisha! Dhaifu anaweka sawa akaunti zake Uarabuni.
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  MUKAMA mbona huwa sioni makeke yake.....chezea SLAA WEYE
   
 7. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Vipi Baba wa mgombea alipanda tena jukwaani kama mlivyotujuza jana?
   
 8. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,664
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Pia strategy za Kulinda kura dhidi ya Hawa Madhalimu Ziwekwe Wazi!! Kwani Wizi wa kura ndio jadi yao kwani wameshachoka hata kupiga kampeni
   
 9. t

  tata mura JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona sioni peopleeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeer hapo?. Mkutano jana picture leo au hadi zifanyiwe uchakachuaji?. Nilifikili nitaona umati wa wanachadema kumbe ....mh.......... Hapa wawakilishi wetu hawajafanya bishara nzuri ya kuuza suti na vipeperushi yani hata bendera inaonekana moja tu kule nyuma. Mwanzoni tuliambiwa amepokea wachama wapya 280 na 650 wamejiunga rasimi, lakini cha ajabu nachokiona hapo jumla ya watu wote hata 500 hawafiki. Je inamaana chama hakikuwa na wanachama awali ya hao? Hata waliopo hawaamini wanayoambiwa yaani wanamshangaa aliyopo jukwaani. Tujipange upya mavuno hayatoshi
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  Habari ya Lwenzera unachanganya na ya Mwawaza....ma.ga.mba bwana kwa kukurupuka.. yaani ni full kuchanganyikiwa tu....hapo mwawaza hamna chenu hata mkimpeleka Kikwete akalale pale
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Watanzania Dr Slaa kila anapokanyaga lazima aweke alama. Viva raisi wetu.
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  picha ya tatu kutoka juu...mzee kavua kofia na kukabidhi mlinzi wake pale nyuma bila kujali ukali wa jua....Mungu ampe maisha marefu
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,844
  Likes Received: 6,694
  Trophy Points: 280
  Rais wangu huyo....Dr. wa ukwe-e
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chadema hawagawi matishirt ya bure. T-shirt za Chadema ukiona mtu kaivaa ujue kaigharamia 10,000. Ni T-shirt zenye hadhi hazitolewi bure kama matambaa yale ya kijani na njano ambayo house girls wangu wanayapigia deki pale home.
   
 15. t

  tata mura JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa hiyo Rwezera kwenyewe hakuhutubia ama hakuna Chadema pale?. Nilikuwa nasubilia kwa hamu point za Baba yake mgombea kwa kupasua jipu jinsi alivyo hongwa ili amzalilishe mwanae kwa wizi, lakini hadi sasa ni kimya habari za kujitungia noma kweli yaani hauhangaiki kutafuta vielelezo vya ushahidi wa hoja kazi yake ni kuwa mvumilivu tu. Tunaomba picture za Geita kama Slaa amepita huko, majisifu ya nini tunataka vitendo.
   
 16. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 133
  Tumewasoma, kazeni buti kwa sana.
   
 17. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,985
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  cdm wametengeneza ajira kwa wauza tshirt, mizura, magwanda nk. Yaani kila ubunifu wenye rangi za cdm una soko sana.
   
 18. t

  tata mura JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata zamani kumiliki simu, Computer na vitu gari ilikuwa ni ngumu lakini mambo ya mtandao yalivyotanuka leo hii hata mtoto wa la pili anamiliki simu. Haijalishi uthamani wake kwani lengo la T-shirt ni nini, Chadema wapo after biashara upo sawa bila kujua biashara inahitaji mzunguko wa haraka. Unasema T-shirt ya Chadema inauzwa Tshs. 10,000/= je hujawahi kuona CD unayonunua kwa Tshs. 3,000/= inauzwa Tshs. 1,000,000/=?. Wenzenu walikotoka ninyi ndo mnafurahia kuwa mumlamba dume.

  Tafakari upya na chukuwa hatua
   
 19. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  kwenda zako huko we gambaz...lete na wewe picha za ccm....yote 9 10 ni 28-10-2012 ndo utajua kama ni sifa au la
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Long live CHADEMA.
   
Loading...