CUF waambieni wanachama wetu waache fujo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF waambieni wanachama wetu waache fujo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tutaweza, Oct 19, 2012.

 1. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Kataa kubali; pigana bisha.
  Asilimia kubwa ya wanaofanya hizi fujo zinazoendelea kwa Zanzibar na Dar es Salaam ni wanachama wa CUF.
  Sasa viongozi wa CUF hembu waambieni waambieni wanachama wenu waache fujo, mwisho wa siku zitawatokea puani.

  NB: Sijamaanisha kwamba wametumwa na CUF kufanya fujo, nimesema ni wanachama wa CUF

  This is the fact from my point of view
   
 2. K

  KIRUMO JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ni waislamu na waislamu ni CUF
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi mbege na mirungi toka Moshi na Arusha inapatikana hapa Dar? Kwa akili za hawa, zilishambuliwa Mbagala ni ofisi za CHADEMA!
   
Loading...