Serekali kujali maslahi ya wanasiasa kuliko ya wananchi ndio chanzo cha vurugu zoote Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serekali kujali maslahi ya wanasiasa kuliko ya wananchi ndio chanzo cha vurugu zoote Tanzania.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by semtema, Oct 19, 2012.

 1. s

  semtema Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii hata kama hujasoma, lakini ukibahatika tu kua mwanasiasa tayari umaskini bye bye. Mbunge wa jimbo moja (simtaji) Hakubahatika kusoma hata kuandika wala kusoma English hajui ila analipwa ma milioni kadhaa na kwa sasa anamiliki VX8 Limite. wakati wenye elimu zao wapo mtaani wanasaga rumba. wanajibiwa kazi hamna.
   
Loading...