Busara za Julius Mtatiro

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, SIYO UKRISTO WANGU.

Mimi ni mkristo, niliyezaliwa Tanzania. Najivunia sana utanzania wangu kuliko ukristo wangu.

Naamini kuwa watoto na wajukuu wangu na vizazi vijavyo, vinapaswa kuikuta Tanzania salama, yenye amani na inayoishika.
...
Ukristo wangu hauwezi kunifanya niiharibu nchi yangu.

Mimi binafsi, naweza kuifia nchi yangu.

Dini yangu haina mungu bora kuliko dini zingine, nawajibika kuamini kuwa, kila dini ya kweli inamuamini mungu wa kweli, Mungu hajatutuma tuue, tutese, tuchome MOTO, tunyanyase n.k ..... Hizi zote ni dhambi juu ya dhambi.

Wanaoua na kutesa kwa jina la mungu wanamkosea sana.

KIPAUMBELE KIWE TANZANIA YETU, SIYO DINI ZETU - HII NI KWA SABABU TANZANIA KAMA TANZANIA HAINA DINI. ANAYEJUA OFFICIAL RELIGION YA NCHI HII ATUELEZE HAPA.

Source:toka kwenye ukurasa wake(Julius Mtatiro) wa facebook.
 
Mtatiro yupo njia panda hasa kutokana na ukweli ya kwamba ili asimikwe kuwa katibu mkuu wa cuf ni lazima abadilishe dini
 
NAJIVUNIA UTANZANIA WANGU, SIYO UKRISTO WANGU.

Mimi ni mkristo, niliyezaliwa Tanzania. Najivunia sana utanzania wangu kuliko ukristo wangu.

Naamini kuwa watoto na wajukuu wangu na vizazi vijavyo, vinapaswa kuikuta Tanzania salama, yenye amani na inayoishika.
...
Ukristo wangu hauwezi kunifanya niiharibu nchi yangu.

Mimi binafsi, naweza kuifia nchi yangu.

Dini yangu haina mungu bora kuliko dini zingine, nawajibika kuamini kuwa, kila dini ya kweli inamuamini mungu wa kweli, Mungu hajatutuma tuue, tutese, tuchome MOTO, tunyanyase n.k ..... Hizi zote ni dhambi juu ya dhambi.

Wanaoua na kutesa kwa jina la mungu wanamkosea sana.

KIPAUMBELE KIWE TANZANIA YETU, SIYO DINI ZETU - HII NI KWA SABABU TANZANIA KAMA TANZANIA HAINA DINI. ANAYEJUA OFFICIAL RELIGION YA NCHI HII ATUELEZE HAPA.

Source:toka kwenye ukurasa wake(Julius Mtatiro) wa facebook.

Nashukuru kwa kuliona hilo kwani tangu nianze kumsikiiliza huyu bwana Mtatiro nimekuwa si mwelewi matamshi yake, labda ameona kwa hili ndiyo sehemu ya kuweza kusafishia nyota! japokuwa uamsho nasikia ni genge lao. Mie simo.
 
Mambo yashaharibika ndio anajifanya kuleta "busara" zake hapa! Muda wote chama chake kilivyokuwa kinachochea migawanyiko ya kijamii alikuwa wapi? Mifano mizuri ya wachochezi huko kwenye taasisi yao ni Maalim na Jusha.

Aache unafiki wake. Mara tuachwe tupumue, mara tumeshindwa uchaguzi kwa sababu kuna makafir wengi eneo hilo, mara oh! Yanayotokea leo ni mavuno ya uchochezi wenu.
 
Je Mtatiro anaweza kuyaongea hayo katika mikutano ya CUF? Nitafurahi kumsikia ili niamini sio unafiki.
 
Niliona gazeti la hoja wiki iliyopita kuwa mamluki wa chadema aliyeko CUF wakimaanisha mtatiro yupo jirani kutimuliwa
 
Back
Top Bottom