Hongera Dr. Makaidi kwa kuliona hilo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Dr. Makaidi kwa kuliona hilo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Miwatamu, Oct 20, 2012.

 1. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133

  Binafsi naomba nikupigie saluti ya ukweli kwa kuonesha uwepo wako katika nafasi yako kama mwenyekiti wa vyama vya siasa. Mimi kama mwana mageuzi ningeshangaa kama sekeseke hili lingepita kimyakimya pasipo kulifanyia kazi.

  Pamoja na juhudi zako; lakini kubwa lililonifurahisha ni hii kauli yako ya…… “Wapo watu wanaoweza kubeza na wengine wakaona kama Chadema wanabembelezwa. Hapana, katika hali kama hii ni vigumu kuiepuka Chadema katika mazungumzo.

  “Kwanza Chadema ndiyo official opposition (kambi rasmi ya upinzani) bungeni. Pia ni chama kikuu cha upinzani nchini, hakuna namna ya kuikwepa.

  “Napenda kutumia fursa hii kuwaomba viongozi wa Chadema wakiitwa na msajili wakubali ombi la msajili ili kumaliza tofauti zilizopo. Kuendelea kubaki na msimamo haitusaidii kama taifa,” alisema.

  Nakutakia usuruhishi mwema! Na kwa viongozi wetu wa pande zote tukubali yaishe ila kwa kumwambia huyo Tendwa kuwa hayupo hapo kwa ajili ya CCM tu bali kwa vyama vyote.
   
Loading...