Wanawake Tanzania bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake Tanzania bado wapo kwenye mfumo wa chama kimoja?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raymg, Oct 20, 2012.

 1. r

  raymg JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  UWT....kwa maana ya Umoja wa Wanawake Tanzania, ndo wamemaliza uchaguzi wao wa ndani, but binafsi sion sababu kwa nn bado wanaendelea kujiita kua n Umoja wa Wanawake TZ, wakat huo n umoja wa wanawake wa CCM Tz, nafkr kuna kila sababu ya kubadir jina la umoja wao kwan c kwel kua wanawake wote n CCM....
   
 2. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata mimi nasapoti, wabadilishe hilo jina. sio wanawake wote wa Tanzania wapo ccm.
   
 3. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi kila siku huwa najiuliza sana hv kwa nini wanajiita UWT huwa sipati jibu afadhari umenisemea na mimi wabadilishe kabisa hilo jina!
   
 4. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli haiko sawa hasa kwa sasa ambapo kuna vyama tofauti kina kijo bi simba wnatakiwa kulisemea hili maana wanawake wote tz wanawekwa kwenye chama kimoja bila ridhaa yao
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  [​IMG][​IMG]huu ni umoja wa wanawake wa CCM inabidi wajibadili majina yao,kwanza wameniudhi kwani syrose kauliza swali la msingi wao wakampiga vijembe na matusi, kwao kuvaa sare ndio fasheni maendeleo kwao sio tija,HIvi huyu mama simba sijui sofia kafanya nini cha kujivunia kwa wanawake kwa miaka 4 aliokuwa kiongozi zaidi ya kuwakataza wanawake wasiwape waume zao unyumba?
   
 6. Comm

  Comm Senior Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  U W T wamejipanga sana,vyama vingine vinatakiwa kuja na mikakati.
   
Loading...