Sheikh Farid jipange upya single yako haijaeleweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Farid jipange upya single yako haijaeleweka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIBE, Oct 20, 2012.

 1. K

  KIBE JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  “Sijala kitu chochote kwa sababu hiyo nyumba haikaliwi na mtu lakini hata kama ningeletewa chakula nisingekula kwa sababu siwezi kuwaamini kula chakula chao kwa hivyo nilichokuwa nafanya nikienda chooni kujisaidia ndio nakunywa maji ya mferejini kwa wingi sana na Alhamdulillah (nashukuru Mungu) amenisaidia,” aliongeza Sheikh huyo ambaye alikuwa amezongwa na umati mkubwa hapo nyumbani kwake. sikuwa naona kitu chochote kwa kuwa alikuwa amefunikwa uso wote”,“Kwa kweli nazungumza neno kutoweka lakini mimi sikutekwa bali nilichukuliwa na watu ambao ni polisi na wakaniingiza katika gari na kunipeleka sehemu moja ambayo mimi nilikuwa siijui wakanifunga kitambaa machoni na kunipeleka sehemu nisiyoifahamu na kuniingiza katika nyumba yenye geti nikiwa na kitambaa cheusi usoni,”
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  usichoelewa ni maelezo yake ama ishu nzima ya faridi.hapa kwa mujibu wa maneno yke mbona yaneleweka labda ishu ya uamsho ambayo ww hujaindika hapa.
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakanizungusha katika roundi abouti ya..... mara 4. Hawajanitesa ila walipiga risasi chini jirani na miguu yangu niliwaona wamevalia soksi nyeusi usoni na mimi walinifunga kitambaa cheusi usoni . Njia ya mwongo fupiii...! .


  Mara.... katibu wa uamsho anawasihi waslamu wasiendelee na vurugu maana muamsho amepatikana
   
 4. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Labda WALIPATA connection zake na kumwambia wanazifunga na yeye hana KAZI atakula wapi? na kuishi maisha ya RAHA? Sasa anasema WAISLAMU wasiendelee na VURUGU? Ina Maana hata PASSPORT yake ina RED ALERT; Hawezi kupanda NDEGE kwenda ARABUNI... Sasa ni ZANZIBAR tuuuuuuuuuuuuuu basi
   
Loading...