Polisi ARUSHA wanatumia magari ya polisi kinyume na sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi ARUSHA wanatumia magari ya polisi kinyume na sheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Oct 20, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,000
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa chochote .nashangaa mkuu wa mkoa anatembea peke yake na dereva .misafara ya nini
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,341
  Likes Received: 4,775
  Trophy Points: 280
  Andikaga basi vizuri..nimeshindwa kukuelewa kabisa..
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,970
  Likes Received: 6,519
  Trophy Points: 280
  Mbona kitu ya kawaida sana, na Diamond nae pale Mbagala siku ile mbona hukuhoji? Kachomeni kanisa lake basi
   
 4. t

  tlc trans Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichwa cha habari na uliyoyaandika tofauti!
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,876
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mtoa mada hebu Jipange! Nabii GoerDavie kwa Sasa anatumia helicopter toka ofisini kwake Njiro hadi kanisani kisongo.. Motorcade alikuwa anatumia zamani na huwa anawalipa polisi kwa ulinzi huo na kuwawekea mafuta
   
 6. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,582
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ninawasiwasi kabisa na hiyo Elimu yako vp umesoma shule za Mashambani
   
 7. c

  ceasarphilly Senior Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo lazima amesomea mashambani tu bwana
   
 8. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 1,574
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Hata wewe ukitaka ulinzi binafsi kutoka jeshi la polisi inawezekana, ni ubavu wako tu.
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kweli hizi nyakati za mwisho tutaona na kusikia mengi!
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Vipi ile habari uliyotumwa kwa ujira wa buku bee kumchafua Lema umefikia wapi?
  Upumbavu mwingine unakera sana jamani.
  Ile post ya jana kuwa Lema kawatapeli wananchi wa Terat eneo la shamba kwa ajili ya hospitali, na kuwa amejimilikisha mwenyewe ulishindwa kuweka ushahidi, na hii hapa umeshindwa kuweka picha tukuamini vipi?
  Kama huna vielelezo kakojoe ukalale!
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mimi nimesomea mashambani na hawafundishi upumbavu, huyu jamaa nadhani ana akili za matope
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mleta uzi wewe utakuwa unatumika
   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,947
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Unakumbuka ile thread yake ya jana dhidi ya Lema?
  Jamaa ana akili iliyochanganyikana na kinyesi
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  kisheria hata wewe unaweza kwenda kuomba escort/ulinzi kwa polisi unalipia na unafanyiwa hivyo,tafuta hela kijana acha wivu wa kike(By Mkapa)
   
 15. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hiyo ni pesa ya kanisa au machimbo ya mererani?
   
Loading...