CCM hali mbaya wilaya ya Kilindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hali mbaya wilaya ya Kilindi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Getwa Anicet Ally, Oct 17, 2012.

 1. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na viongozi karibu wote wa CCM wilaya ya Kilindi kutoka katika kanda moja inayohusisha kata za Mkindi, Msente na Mswaki maeneo ambayo kijiografia yapo karibu na Handeni na ambayo hayana idadi kubwa ya watu na kuziacha kata za Kibirashi, Songe, Kwediboma, Kikunde, Kwekivu na maeneo mengine muhimu baadhi ya wananchi wanasema ni mwanzo wa upinzani kuwa na nguvu wilaya ya Kilindi.

  Hali hiyo inachangiwa na kampeni inayofanywa na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kilindi bw. 'Kabwe' na katibu wake maeneo mbali mbali ya wilaya.

  Viongozi hawa wapo katika mchakato wa kukieneza chama katika vijiji na kata mbali mbali za wilaya hii.
   
 2. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  "we can not solve today's problems using the mindset that createdthem"
  - albert einstein
   
 3. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pamoja
   
 4. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Nakusoma vizuri mtu wangu kwani vijiji vyote ulivyovitaja navifahamu sana. Watu wa Wilaya hiyo wanahitaji uamsho wa kutosha kwani wako nyuma kwa kila kitu.
   
 5. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa kuhusu uamsho kwa kuwa wengi wa wananchi huku hadi sasa ni undecided ila wapo makini kufuatilia ni nini kinaendelea..
   
 6. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  usitumie neno uamsho kuna jamaa wa vitu vizito hapa
   
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Adui yako muombee njaa.
   
 8. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  good boys, endeleeni na wembe huo huo
   
 9. G

  Getwa Anicet Ally Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku mbili tatu zilizopita vimewageuka huko mwanza kwa rpc na zanzibar kutoka kwa hao uamsho.
   
 10. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  he kumbe hata wau vinarukaga kuelekea kwao
   
Loading...