CCM chovu-kila sehemu vurugu ba shari-Sasa UWT ktk uchaguzi

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
NI aibu na hatari nchi kutegemea hii CCM ibaki madarakani.CCM yenyewe haijiwezi kila uchaguzi hauna democrasia.Wanapigana kila mahali sasa akina mama wametukanana na pegine kutwangana.Itakuweje wakituwakilisha kupambana na nchi nyingine?

Hao ndio UWT,itabidi CDM wawaumbue ktk kampeni za mwaka 2005.hawa akina mama hawana ethics kabisa.Hii vurugu na matusi ya leo ni aibu tupu.
 
Vurugu kubwa imezuka ndani ya ukumbi kwenye uchaguzi Wa mwemyekiti UWT CCM ambayo Sophia Simba ameibuka mshindi. inadaiwa kwamba chanzo cha vurugu ni pale Sophia Simba alipomsemea mbovu Shyrose Banzi baada ya Sophia kumfuata Shyrose alipokuwa amkaa na kumpa mipasho! Hii ilitokana na Shyrose kumuuliza swali Sophia Simba ni Maendeleo gani amewaletea wanawake katika kipindi chake cha miaka minne.

Source: Star TV taarifa ya saa mbili usiku leo

my take;
Kama hawa ndio aina ya viongozi wanaoaminika kupewa madaraka makubwa ya uongozi wa nchi basi wana CCM kazi mnayo!
 
wooooooooooooooooooooooooooooooooote wajinga tu mi nyinyiem naye anna kilango malechela ni mnafiki na lana ya mme wake imemkuta
 
Nimeona pia kupitia taarifa ya habari ya ITV, kwa kweli ni aibu kubwa kwa CCM, lakini mwenyekiti husema ni UPEPO tu utapita!
 
huyo Kilango ni mnafiki sana, na hawez kupata uwenyekiti bila kunaniliu na wenye chama.
 
Sophia simba ameshinda kwa kura ngapi, Le mutuz hakuwepo kutoa sapoti kwa mama!!!!! nina maana anne kilango.
 
Neno aibu ndani ya CCM halipo..

siku hizi wote wana CCM ni 'uso wa mbuzi'..
hatazamwi mtu sura,ni pesa yako tu..
 
Mkuu hii ni mwendelezo wa aibu ndani ya chaguzi za CCM, mara upabe na vitisho, mara ufisadi, mara rushwa, zingine za wazi kabisa mbele ya takukuru, na sasa mipasho na ndani ya UWT CCM! Yote haya yanafanyika waziwazi na bila hata viongozi wakuu wa chama si mwemyekiti au Katibu wa chama kuchukua hatua!
Mkuu nilipost uzi mwingine hapo juu, nimefurahi hata wewe Kumbe imekugusa.
Ni aibu tupu na hii inaonyesha hawa watu wa CCM hawawezi kuaminika tena kuwakabidhi kuongoza nchi
Ndani wanashindwa kujidhibiti watawezaje kuondoa maovu yanayoikabili nchi hii?
 
Labda kama kuna mengine, lakini kummuliza Simba ameleta maendeleo gani kwa wanawake tangu awe mwenyekiti ni haki kabisa. Na alitoa kauli mbovu yeye Sophia Simba maana yake hakufanya kitu cha maana, which is very obvious!
 
Tukio lile ni aibu sana kwa CCM na UWT. Yaani hawana heshima hata kwa viongozi waliokuwepo hapo,
 
Mama Simba Kura 716 na Mama Kilango 346 .Mama Simba keshatangazwa kwamba ndie mwenyekiti mpya wa UWT.
 
.......eti huyu mtoto (shairose) tumempa ubunge east africa...wewe sofia simba kwanini ukujibu swali ulilo ulizwa? aibu mpaka kwenye kope kweli ccmmfuu
 
Neno aibu ndani ya CCM halipo..

siku hizi wote wana CCM ni 'uso wa mbuzi'..
hatazamwi mtu sura,ni pesa yako tu..

What is absolutely funny is how Vasco and the CCM member's were happy with selection's at CCM process.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom