Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dau umesikia vituko vya Nafuwe Nyange na Omar wa Legal Dept?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mugishagwe, Oct 20, 2012.

 1. M

  Mugishagwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 295
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni kazini hajui kazi lakini dharau kubwa na kujidai yeye mtoto wa Anna Kilango.Baada ya kuingia kwa dharau na kejeli kampata Omar Wa legal Dept wameanza mapenzi amefikia mahali pa kuweka msimamo wake wazi kwamba Kama anatumwa kazi za nje yaani mikoani lazima aende na dogo Omar kama hataweza kipewa Omar basi asitumwe nje.NSSF kwa mshangao kwa uoga gani sijui wame halalisha.Baada ya kuona mama yake anagombea UWT nimeingiwa na uoga mkubwa maana sijui sasa itakuwaje baada ya kupata.Tunatoka kusema ya Waislam na tabia zao toka zamani leo NSSF kuna watu wa aina hii kwa jina la mtoto wa Kigogo , Legal Dept wanajua na hawana pa kutokea na je Dau unayajua haya yanayo tokea kwenye himaya yako?Tunasema mapema uamue kuziba masikio mwenyewe na last week walikuwa wote Dodoma na kazi iliharibika
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,318
  Likes Received: 610
  Trophy Points: 280
  MSc legal dept? I am lost.
   
 3. T

  Top Cat Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii kesi ndogo.....wacha tushughulikie ya ponda kwa sasa........
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  usijali mbwembwe za mama kilango zimeisha leo kwani kwa taarifa za uhakika mama sophia simba mfuasi sugu wa EL ametetea kiti chake
   
 5. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hahaha hasira za kukosa safari(per diem ) zinauma sana....jipange upya

  Nahivi rates zimeongezwa mhhhh....
   
 6. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hii thread ina maana gani kuletwa hapa?
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huyo Omari amewekwa hapo kwa sababu ya dini yake. Kwa kifupi NSSF ni shirika la Waislam.
   
 8. SASATELE

  SASATELE Senior Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani ugomvi wa kazini kwanini kuleta humu jamvini? haya si ndo mambo ya fitna makazini. Piga kazi utaonekana important na utapanda cheo au kupata safari nawe.
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Naamini mleta mada kachoshwa na tabia za watoto wa wakubwa na matendo yao ya kuwanyanyasa watoto wa wasio na sauti wala Godfathers nk.Mie namwelewa anataka ujumbe huu umfikie Dau ajue kwamba watoto wa wanasiasa wanajiona na wana haribu kazi .Ukisoma utaona kwamba kaja juzi na baada ya mahusiano sasa analazimisha kwenda na mtu na kaweka bayana kama haendi naye haendi hii ni cancer kubwa kwa Taifa letu si jambo la kubeza .Uchunguzi unatakiwa na hatua kuchukuliwa NSSF ni pesa zetu zile sasa kweli kutumika kihivyo ?

  Mkuu umeshangaa kwamba ana LLM na yuko Legal Dept kuna ugeni gani kama kaja akiwa hajui kazi kapata ajira kwa jina la Mama yake baada ya kimemo si inabidi ajifunze kazi sasa ?Soma tena utaona kwamba hata mahakamani bado ni kanjanja mkuu .
   
 10. K

  Kijunjwe Senior Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hoja ziko kimbea zaidi!
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu hata Nafuwe ni Muislam pia kwa taarifa tu .
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280
  Hembu ondeni hu upuupu na umbea hapa peleka kwa shigongo...!!!! Kama Omar kapata ....wewe tafuta mwingine ...mademu hawajaisha
   
 13. T

  Truly JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo nafue ni mwislam halafu pia ni mpare which means ni kabila moja na mama K.
  Nafue nilisoma nae primary miaka hiyo huko arusha
   
 14. P

  Ponera JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyo wanaedai mtoto wa anna nae ni muislamu? Na yetu kweli kama ilivyo udom, pasuka sasa maana naona povu limekujaa
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Come back to your sense .Hapa hakuna anayesema kanyimwa penzi .Hapana hakuna anayesema kanyimwa safari hapa ni issue ya dharau kwa wenzake ambao yeye kaja kaajiliwa kwa dini yake kawaacha ana wanyanyapaa muda wote pili kutoa masharti kwamba hawezi kwenda nje ya kituo cha kazi bila mpenzi wake Omar na watu kutii maneno yake kisa ana mahusiano na Kilango .Hii ndiyo issue nadhani the rest si mantiki jadili haya acha yale mengine
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  watu walioawahi fanya kazi na wapare hasilia wana lalamika kuwa wapare si relible people.Haawaniki kabisa.Wengi wanasema kuwa huwezi amini majimbo yao kama unaweza chukua ushindi hata kama kila dalili zinaonyesha hivyo.Mama Kilango si alikuwa anapinga ufisadi,kisha baadaye akasema mzee wa mvi ana karama kila kkigusanyo kinaguwa mwake.Yaani gold.
   
 17. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CHUKI BINAFSI PURE AND SIMPLE!
  Kama ana Omari, sisi inatuhusu nini?
   
 18. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama wewe ni mfanyakazi hapo NSSF huna njia nyingine za kiutaratibu hapo kazini za kumuona Dr.Dau kumfikishia malalamiko yako mpaka uje mtandaoni?...kama mimi ningekuwa hapo NSSF nigekuwajibisha.
  Nasikia harufu ya kumchafua Dr.Dau hapa! mods tafadhalini futeni huu uzi.
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  umeona sioni maana ya kuandika hapa. kuna watu wana vijicho sana kutwa kuchwa kuhangaika nayasiyowahusu kilichokupeleka kazini ni kufanya kazi fanya kazi hayo ya ngoswe muachie ngoswe.

   
 20. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi namtetea mleta hoja na ndiyo maana namtetea .Dau ana ambiwa kupitia hapa na wakubwa wengine wajue uozo wa pale wakae kimya tu lakini ijulikane kwa uwazi .

  Wakuu JF is where we dare to speak openly au umesahau ?
   
Loading...