Tanzania: Tukitaka twaweza kuwa USA ya Afrika

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Tunakubaliana kuwa Tanzania tuna kila kitu cha kuweza kutufanya tuwe engine ya maendeleo Afrika.

Na tukijitahidi kuhubiri umoja tukiungana na DRC, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya na South Sudan tunajenga nchi itakayokuwa na kiwango kama cha India au Brazil.

Tunahitaji kitu kimoja tu nacho ni uongozi imara na visionary. Ukweli tukiwa na Dr Slaa kama rais Tanzania tutarudisha tena heshima yetu, we will lead again. Jamani amkeni tulete ukombozi
 
Mkuu,

Maswali ninayokuuliza chini labda yanaweza kusaidia ukaiboresha hoja yako ikapanua wigo wa mjadala. Nothing personal!
Tunakubaliana kuwa Tanzania tuna kila kitu cha kuweza kutufanya tuwe engine ya maendeleo Afrika.
Kwa maana kuwa mataifa mengine hayana kila tulicho nacho mkuu wangu?
Na tukijitahidi kuhubiri umoja tukiungana na DRC, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya na South Sudan tunajenga nchi itakayokuwa na kiwango kama cha India au Brazil.
Umoja? Sijaelewa, umoja wa Afrika au umoja gani? Hii EAC ipanuke au?

Unazijua siasa za Congo? South Sudan?
Tunahitaji kitu kimoja tu nacho ni uongozi imara na visionary. Ukweli tukiwa na Dr Slaa kama rais Tanzania tutarudisha tena heshima yetu, we will lead again. Jamani amkeni tulete ukombozi
Hii imekaa kama kampeni, nadhani unaweza kufikiria zaidi ya hapa. Taifa limepoteza heshima yake? Seriously?

Kuna watanzania wengine zaidi ya Dr. Slaa, tujenge hoja ambayo itaonyesha tunachokihitaji kama taifa na huenda pia kete ikamdondokea huyo Dr. Slaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom