Hivi kwanini watanzania ni wakarimu sana kwa wageni wa mataifa mengine.

Ndonya

Member
Oct 14, 2012
34
4
Katika hali inayonishangaza watanzania ni watu wakalimu sana kwa watu wa mataifa mengine, mgeni anapokuja tanzania uwa anapewa heshima kubwa sana, tena wakati mwingine hata isiyostaili, tofauti na tunavyochukuliana wenyewe kwa wenyewe, hili limejichomoza ktk nyanja mbalimbali, sasa ndugu zangu wana jf naomba tulijadili hili mwisho wa siku tujue kwanini tunawaheshimu sana wageni lakini sisi kwa sisi atuheshimiani na madhara ya tabia hii ndio haya tunayaona yanaanza kujitokeza.
 
Back
Top Bottom