Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Skillionare, Oct 20, 2012.

 1. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

  Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  redio iman.
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka
   
 4. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ingekuwa vyema MKuu wa mkoa aweke wazi ana maana gani "mihadhara ya kidini"

  Na vyombo gani wanalenga kuhusiana na uchochezi? Bila kuwa specific tamko hii haina nguvu kabisa!
   
 5. Domy

  Domy JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 4,702
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tv/radio imaan ndio virus wakuu.
   
 6. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  mungu turinde
   
 7. p

  promi demana JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bado hapo hajawa specific mihadhara ya dini gani na radio gani ni Radio free au Radio imaan,? Gazeti la Ijumaa au gazeti la Al-nuur?

  Pia tamko hilo lifaa litolewe na mkuu wa nchi au waziri husika.
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Mkwara wa kizamani!!Redio iman ifungiwe kwanza kama onyo, statement ilitakiwa kusomeka hivi-tunaifungia hadi hapo itakapojirekebisha,hii ya kumtishia kumkimbiza mtu uliyesimama naye ni dalili ya uoga.
   
 9. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Akitaka kucheza ngoma ya ukweli aifungue hiyo redio. Anadhan kama madhaifu mwanahalisi hiyo redio
   
 10. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Radio Tumaini au radio Maria?
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana,ni bora kushughulikia tatizo la msingi!
   
 12. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Serikali inafanya makosa makubwa kuacha hii Redio WAPO ndio chanzo ni kashfa na matusi makubwa kwa viongozi wa kiislam.
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  Hii haina uzito wowote ni kama unashtuka kujifunika wakati ndio kunakucha....
  Wakati wote watu wamepiga kelele kuhusu hiyo mihadhara lakini walijifanya kuziba masikio. Leo hii ndio wanashtuka wakati akili za watu zimeshaharibiwa kwa zaidi ya 80%.
   
 14. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Waislamu sasa hivi wanatumia misikitu kumwaga sumu, wanatumiana SMS pia. Kupiga marufuku mihadhara haisaidii.
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Utafanya nini wewe yahe,wewe ni mtawaliwa tu.Unajitutumua wakati huna lolote!
   
 16. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  lugha kama hz ndio zinachochea uhasama, watu wakiamua kufanya kweli mnaililia serikal na jesh lenu
   
 17. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,975
  Likes Received: 37,567
  Trophy Points: 280
  Ni sawa na kutibu kansa ambayo tayari imeshasambaa mwilini.

  Viongozi wa nchii ni kama wako likizo.Wako makini kudhibiti chadema na sio mihazara ya kidini.

  It is already too late.
   
 18. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watamuua njaa cecil simbaulanga na ndimbo kwa ajira yao ya muhamad si mtume.
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Shwadakta, well said!!!
   
 20. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata hali ikiwa swari hatutaki kuona mashehe wakishika Biblia kwenye mihadhara yao na kuistafsiri wanavyotaka wao. Kila mtu ahubiri cha dini yake.
   
Loading...