Umoja wa wanawake wa CCM uitwe UWCCM na sio UWT

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
toka zaman enzi za chama kimoja umoja wa wanawake wa CCM wamekuwa wakiuuita umoja wao UWT sasa ni vyma vingi imefika mahali wauuite UWCCM Kama ilivyo UVCCM .INAUDHI mkiendelea kuita UWT
 
Huo ndio ukweli mkuu. Lakini kwa kuwa hawana uwezo wa kulitambua hilo aidha kwa makusudi au kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri watakuwa wabishi.
 
Back
Top Bottom