CHADEMA endeleeni na M4C yanayotokea ni vimbwanga vya CCM na serikali yake

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
lazima muelewe hapa imetafutwa mbinu ili kupooza harakati za M4C.wanataka kutusahaulisha juu ya M4C.
wanataka kuwaambia wananchi kuwa amani ya nchi iko katika hatihati,kama mnabisha tutasikia kwenye speech ya rais mwisho wa mwezi.

eti tunaambiwa shekh katekwa halafu maandamano na uchomaji wa makanisa na maskani za ccm ,halafu serikali inapewa masaa 26 kutekeleza amri ya kikundi cha kigaidi,inatii ndani ya masaa kumi....hili movie inabidi wairudishe studio wajanja tumeshtuka bana.

ushauri wangu kwa chadema ni kuendelea na M4C huku mkitolea mfano wa serikali dhaifu inayoshindwa kudhibiti vurugu.kama serikali imeshindwa kumlinda RPC na polisi mmoja huko zanzibar itawezaje kumlinda mama muuza samaki wa ngarenaro?
 
kaka nakuunga mkono ukiangalia kwa undani utagunndua kuwa hizi vurugu zote ni mbinu na agenda za siri za za kuzuia harakati za CDM kuchukua nchi na CCM na serikali yake wana mikono yao..

lakini nawatabiria kushindwa kwa sababu njia wanazotumia sio za kisayansi, harakati zao zinahatarisha amani na kuzorotesha uchumi hii inapelekea kushindwa kudhibiti dola na kujirakisishia kuanguka mapema hata kabla ya uchaguzi.

na amini nakuambia CCM wataisambaratisha nchi
 
ulikuwa upepo tu naumepita kama ule wa babu loliondo mkuu
 
Wakuu ukienda kwa undani suala la vurugu zilizojiri hivi karibuni hazilengi katika kupoza M4C, na kama ni hivyo basi aliyefanya ni kama wenzetu wale wanauuza mbuzi kwa kesi ya kuku.

M4C haitikisi nchi kihivyo, lakini vurugu za kidini zina mwangwi mkubwa sana tofauti na M4C.

Kuhusu kuendelea kwa M4C nadhani hakuna sehemu waliyopiga au kukataza kuendelea.
 
nikweli ukisemacho. lakini kumbuka hiyo M4C wanaipokea hawa hawa wanaopigana. lazima kuwatuliza kwanza halaf wape M4C.
 
Ila safari hii mambo yamekuwa mengi kwa wakati aisee! Vurugu za udini, mauwaji ya polisi znz na mwanza, ripot ya mwangosi, ripot ya ulimbok du. Kweli kin mwema sa hivi wanapiga kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom