Kitimutimu kampeni za udiwani Lwenzera:GREEN GUARD wateka; REDBRIGADE watembeza kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitimutimu kampeni za udiwani Lwenzera:GREEN GUARD wateka; REDBRIGADE watembeza kichapo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Oct 21, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mwenendo Kampeni za udiwani kata ya Lwenzera mkoani Geita jana zilichukua sura mpya baada ya kuwepo matukio yafuatayo:


  a. Vijana wa usalama wa ccm(redbrigade) jana saa 9 mchana walimteka kijana mmoja wa kiume na kutoweka naye kusikojulikana baada ya kutokea sintofahamu kati ya mgombea wa ccm na wapambe wake dhidi ya wanachi wa kijiji cha Bweya baada ya kukerwa na matusi yaliyokuwa yakiporomoshwa na mgombea wa chama hicho bwana Misango dhidi ya mgombea wa cdm.Hali hiyo ilipelekea kuibuka kwa zomeazomea huku wananchi wakiondoka eneo la mkutano na kusababisha mkutano huo wa ccm kufungwa.Majaaliwa ya kijana huyo hayajajulikana mpaka sasa.

  b.Vijana wa chadema nao (redbrigade) walimtia nguvuni na kumshushia kipigo kada wa ccm bwana MAJALIWA KADADI baada ya kumkamata akitoa rushwa kwa akina mama wapatao 15,kabla ya kuchoropoka na kutokomea kusikojulikana.Akina mama hao ndiyo waliotoa taatrifa mara baada ya kupokea fedha hizo na mtuhumiwa wakingali naye bado eneo la tukio kama ambavyo wamekuwa wakielekezwa chini ya kaauli mbiu ya ..KULA CCM...KURA CHADEMA

  Nawasilisha.
   
 2. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  peeeeepooooooooooooos mpaka kieleweke cdm bana mpaka rahaaaaaa
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,765
  Likes Received: 6,090
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu hapo kwenye red sijaipenda sana kwa Chadema - xGuard, xBrigade, etc walitakiwa waachiwe magamba na mkewe. Kama ni lazima sana, basi Chadema walitakiwa wawe na kitu kijulikanacho kama PeaceMakers (PM) na siyo brigades or guards ambazo madikteta na vyama tawala vingi vya Africa vikiwemo CCM na CUF vime-adopt from Libya, Iraq, na kwingineko kama majeshi binafsi ya vyama na madikteta husika.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wazo zuri
   
Loading...