Madaraka ya raisi yapunguzwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaraka ya raisi yapunguzwe

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by lupasulwisye, Sep 20, 2012.

 1. l

  lupasulwisye Senior Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katiba itamuke wazi kuwe na taasisi maalumu za kuteua jaji mkuu na majaji wa mahakama kuu,kueua makatibu wakuu wa wizara,mkuu wa majeshi,polisi,magereza,wasiteuliwe na raisi,vilevile wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma wasiteuliwe na raisi.hii itasaidia watumishi kufanya kazi zao bila kupendelea chama kitakachoshika madaraka ya nchi hii.
   
 2. w

  wizddallu Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi lupa ilo muhimu
   
Loading...