Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, Oct 22, 2012.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wapendwa,
  Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
  Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

  Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

  Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
  Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Thread ya kipuuzi. Rubbish.
   
 3. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Tanzania itakuwa kama BOTSWANA ndani ya muda mfupi.
   
 4. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Tumekuteua kwenda kuwapa NISHANI ya uongozi uliotukuka BI SHYROSE BANJI na BI SOFY MWANA WA SIMBA.
   
 5. i

  interprevist Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tegemea maendeleo endelevu
   
 6. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,001
  Likes Received: 4,429
  Trophy Points: 280
  Itaendeshwa kichiluba
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wale wote wanaotoa comment humu ni wanachadema? Umejuaje? Hii mada yako haina ukweli wowote. Sijaona popote ambapo chadema imekejeli dini yoyote au kudharau yeyote.
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tuwe tuna-akili kidogo watanzania.
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema kuchukua utawala wa nchi ni Nooooooo jiulize mko wangapi!!!wenye ndoto za vitoto vichanga
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ngoja CDM ikichukua nchi uone itakuwaje. Maana ni mapema kusema kwa vile wote ni wanasiasa.
   
 11. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tutakuwa na Tanzania kwa watanzania wote bila kujali dini, kabila, rangi, jinsia wala umri. Keki ya Taifa itakuwa ni kwa ajili ya watanzania wote. Mafisadi wote watakamatwa na kufilisiwa mali zao zote bila huruma. Tutapata Elimu bure, matibabu ya hospitali bure, Viongozi wetu hawatakwenda nje ya nchi kupata matibabu kama ilivyo sasa, viongozi wetu watatumia magari ya bei nafuu, mikataba ya uwekezaji itaangaliwa upya na kama kuna kasoro itavunjwa mara moja kwa faida ya watanzania na Tanzania. Vifaa vya ujenzi vitashuka sana bei, huduma nyingi za jamii zitaboreshwa na kuwa nzuri sana. Jeshi la polisi litavunjwa na kuundwa upya.
   
 12. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  I like that kila mtu anaamini sasa hivi Chadema inachukua nchi
   
 13. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Serikali yeyote iliyopo madarakani inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi.
  Na tafsiri ya CHADEMA ni (Chama cha Demokrasia na Maendeleo).
  So nchi ikiongozwa kwa kufuata demokrasia kama tafsiri ya CHADEMA inavyoonyesha nadhani hamna haja ya kuwa na mashaka yeyote juu ya uhuru wa wananchi.

  Na Demokrasia katika utawala uliopo ndio jambo lilokosekana kabisa.
   
 14. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huna cha kufanya wewe......endelea kunywa kahawa na kuchoma makanisa tuone km itakusaidia
   
 15. Akthoo

  Akthoo JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 585
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  umeona eheeh?
  Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
  Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Story za chooni hizi!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Siasa za bongo bana. Hizi posti za uchochezi mods inatakiwa wazipeleke kwenye dustbin
   
 18. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180

  [​IMG] Senior Member Array


  Join Date : 5th November 2007

  Posts : 216

  Rep Power : 603

  Likes Received22
  Likes Given4  nilitegemea tofauti na hicho ulichoandika hapo juu mkuu.
   
 19. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 6,001
  Likes Received: 4,429
  Trophy Points: 280
  Kinwaji cha taifa ktakuwa MBEGE.
   
 20. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,496
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  kama wananchi watakipa fursa basi watakuwa wameona kinafaa. labda ungeuliza Chadema wangeipindua serikali na kushika dola je, hali ingekuwaje? swali zuri zaidi ni sababu zipi zitawafanya wananchi waamue kukipa utawala chadema?
   
Loading...