Hatari Gari hii Zanzibar ni wapiganaji (nissan patrol jeupe lenye tintedi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari Gari hii Zanzibar ni wapiganaji (nissan patrol jeupe lenye tintedi)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Democracy999, Oct 22, 2012.

 1. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu kuna habari zenye ukweli, sasa Uamsho wamekuja na style ya Mafia Zanzibar ya kuwamaliza wale wote maadui wa Zanzibar na UIslamu, kwa hiyo lipo kundi la watu wanaranda na gari jeupe lenye tinted full, wana silaha ndani ya gari, gari halina namba, wakifika wanachapa ile mbaya na kuingia mitini.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Wameshachapwa wangapi Mpwa? huku siko tulikofikishwa na hawa jamaa
   
 3. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mods huu ni uongo tafadhali ondoa hii thread inalenga kuwatia hofu wananchi.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Acha kutetea ugaidi mkuu. Kama ni uongo leta ukweli wako
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Democracy999 leo umekunywa bia au ulanzi mwanangu? Wakija kwetu Kitope tutawachapa achia mbali kuwavua nguo.
   
 6. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Kuna vikundi viwili vya maskani huwa vinafanya. Uhalifu bila kuguswa hivi ni mbwa mwitu na ubaya ubaya
  Inawezekana ndio hawa lakini hawahusiani na uamshoi ila ni maskani za ccm

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nchi iliyokosa uongozi makini lazima haya yatokee،waliacha kashfa za kidini majukwaani sasa watu wanauwana.nchi hii nikama vile haina viongozi kabisaa
  a!
   
 8. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Tuacheni tupumue yakheee..hatutapumulia masaburi yakheeee tafadhari mtuache tupumue..nyie zaletwa tende zaishia magomeni tu.
   
 9. B

  Boribo JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 459
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Wacha kupotosha Mkuu,zanzibar kuna vikundi vitatu vya CCM Janjawid
  1-Ubaya Ubaya 2)Simba mwenda pole na 3)Mbwa Mwitu
  haya makundi yanatembea na magari ya wazi kabisa na hayana namba,wanabeba silaha na wanavaa mask(soksi ktk Nyuso zao)na cha kushangaza polisi hawawaulizi chochote!!!!
  na hawa ndio wanaofanya vurugu!
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ivi kumbe shein hana maamuzi magumu kama Dhaifu eeee,
   
 11. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna thread nimetoa hapa kwamba Farid amewahi kutumikia jeshi la Qatar lakini watu wengine wanafanya masihara. Matokeo tutayaona.
   
 12. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu atusaidie muungano ufike mwisho haraka
   
 13. 2

  21DEC2012 Senior Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we must do something to protect our country.wanafadhiliwa na nani?kwa faida ya nani?
   
 14. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhh! au ndio wanaoteka nyara uamsho?
   
 15. a

  abdul 28 JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 325
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si wakamatwe basiiii hao ni polisi chini ya mwamvuli wa muunganoo
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Boribo

  Hakuna mwenye camera(kipiga au kichukua picha) na kuweka hapa JF?
  Kama hivyo vikundi vipo na vinavaa mask na wanafanya vurugu kwa nini hakuna ushahidi wa picha au video?

  Waandishi wa habari walioko huko pia hawajui hizi habari za kuwepo kwa hivi vikundi?

  Hakuna wa kunasa ushahidi wa hizo gari nyeupe anazozungumzia mleta mada?
   
 17. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  like father like son.
   
 18. mtwana

  mtwana JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 399
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Jambo lolote unalolisema lazima uwe na ushahidi wa kutosha...Je unao ushahidi wa kutosha na huo ushahidi wako utauweka mbele ya Mwenyezi Mungu au unasema kwa kujifurahisha nafsi yako tuuuuuuuuuuuuuu
   
 19. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli, tena hiyo ni sehemu ndogo tu ya historia yake iliojaa utata na ugaidi arabuni (pia ni mu omani kabisa) japo keshapigana nchi nyingi na Alqaida
   
 20. d

  delako JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 2,000
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hiyo habar km ya udaku vle???Weka japo picha labda tutajarib kuhamin
   
Loading...