Kumbe malengo ya ccm kushinda uchaguzi na si kutatua kero za wananchi?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe malengo ya ccm kushinda uchaguzi na si kutatua kero za wananchi??????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Suleiman mathias, Oct 23, 2012.

 1. S

  Suleiman mathias Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kali sijawahi kuona,mwenyekiti wa ccm akiwaeleza vijana wa chama kuwa moja ya kanuni zao ni kushinda uchaguzi,hii imenipa wasiwasi sana na kufikiria mbali sana kwani wamekuwa wakitumia rasilimali na nguvu nyingi hasa chaguzi ndogo zinapotokea,ukweli leo umebainika lengo lao si kutatua kero bali kushinda uchaguzi wao hawajali kutumia kiasi kikubwa cha pesa ktk by-election yoyote,fikiria kama kiasi hicho kikubwa kilichotumika Igunga wangeamua kujenga madarasa jimboni humo watoto wasingesoma vizuri? Huu ndio uthibitisho kuwa wameshindwa kuongozza wakae pembeni
   
Loading...